Hovering tools (android)...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu,
Kwema? Nimekutana na hii app katika pitapita zangu. Kwa kifupi hii ni app inayo f(x) kama air gesture ya kwenye S4 na other devices. Iko poa kwa namna flani and its really cool n interesting, imagine kuweza kuwasha camera ya simu yako bila kukutouch button (air gesture) etc. Hii app inatufariji kidogo ambao hatuna high end devices which come with in-built air gesture support. Unaweza kuidownload hapa: [APP][2.2+][v1.3.8] Hovering Controls (emulates Air Gesture from S4) - xda-developers

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
Duuuh!watu wabunifu kweli....inamaana hapa S4 Hawakufanya innovation yeyote iwapo mtu ameweza kufanya similar thing na app
Au mnasema je wadau....afu s4 yenyewe watu wakabamizwa 1.3M
 
Duuuh!watu wabunifu kweli....inamaana hapa S4 Hawakufanya innovation yeyote iwapo mtu ameweza kufanya similar thing na app
Au mnasema je wadau....afu s4 yenyewe watu wakabamizwa 1.3M

ndio hapo mkuu, mi nimekuja kugundua kwamba sometimes unaweza kununua simu ya gharama sana kwa kutegemea kupata unique features lakini ukashangaa in no time watu wakaja na app inayof(x) mule mule ukabaki,unambwela
 
air gesture za s4 zinatumia sensor maalumu na ni engineer process yaani imetengenezwa kuanzia kwenye hardware na sio software tu.

wakati hizo app zinatumia front camera. na hio app nshaitumia ina bug balaa jaribu uone kila saa ina crash au kuifanya simu slow.
 
Seems like the sky is the limit, next will be thought controlled navigation via thought sensors.
 

ulitumia kwenye device gan mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…