loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 769
- 1,730
Wale wanamgambo wala mirungi wa Yemen tangu Iran kubondwa na Wateule na Marekani wamekuwa kimya kulikoni?
Ni zaidi ya wiki sasa hata kimondo hawajarusha kuelekea ardhi tukufu, takatifu na teule.
Wamemuachia tu mwenzao Hezbollah anayejitahidi kurusha vimondo kinyonge.
Houthi waache uwoga bana Iran baba yao kawasaidia sana.
Adiosamigo gTurn Ritz kimsboy gallow bird
adriz de mbusii