Ccm kwenyewe wanatekana lakini wewe ulivyo zuzu hayo Huyaoni.Ndio ayo maisha wanayoishi mbiooo mbiooo kila dkk kwenye mashimo kama panya au yule ngili kasongo yeyeee!!!!!
Maisha gani yale apana afadhali CCM imetuakikishia Usalama !!!!
imekuwa kama ukipita pembeni ya Beach baharini utawaona Crabs au ngandu wakikimbia mbio kuelekea kwenye maji sasa Taifa Teule wamekuwa kama ngadu!!!!
Watu wanatekwa na kupotezwa wewe hujui!!CCM imetuakikishia Usalama nataka nn tena siwadai kitu maendeleo ni juhudi zangu mwenyewe kuukimbia umasikini !!!!
KENYA Chama cha KANU mushaKisaau lkn bado umasikini umetamalaki KENYA !!!!
Sababu Chama akiondoshi Umasikini bali niwewe mwenyewe ktk Juhudi zako!!!
moja ya Majukum ya Chama Tawala ni kukupeni Usalama wananchi wake muwe huruñ mfanye kazi zenu za maendeleo.,,,,
Kifo hakipo Israel tu hata huko kipo mtu anaweza kufa au kuuwawa popote shida iko wapi?? Na ccm unaiheshimu wewe wengine tuna chama chetu kitukufu!!CCM niyakueshimiwa mfano yule kijana wa KTZ ambae alikwenda uko ISRAEL adi leo ajulikani yupo wapi japo alishafika uko Israel kwaamaana nyengine yule kijana angebaki tz leo angekuwa yupo hai tunaongea kuusu Simba na Yanga.
Ila utamaduni wao ndio unaoabudu hadi jina umechukua ya kwako kwa kudanganywa kwamba hayo ndio majina ya kumwingiza mtu akhera.🤣🤣🤣Mwarabu yupi mm simwabudu mwarabu kabisa!!!! Ndio ukaona nww umwabudu Mzungu!!!!!!!!! Haaaaaaa sasa nimeelewaa!!
Huwezi ingia front na yahudi bila baba yao kuwasaidia.Kitu kipo ila kimeubeba uZungu ndani ya Israel.Binafsi huaga napenda kushikirisha ubongo wangu kwa kila ninacho kisikia na kukiona, yawezekana kweli Marekani anawasaidia Waisrael but not to that extend bro.
1. Askari wa IDF ni Wayahudi pure, sio wa kukodi
2. Iran iliwahi kuchokozwa na USA na Iran ilijibu, hadi leo is like USA hataki ugomvi na Waajemi wale, sio Wayahudi. Wayahudi wanajipigiaga Iran wanavyo taka, wameua viongozi wa Hamas wakiwa kwenye ulinzi mkali na tena jijini Tehran, wameua rais wao, wameua wana sayansi wao tena nyumbani kwao na makao makuu ya serikali, wamepiga sehemu muhimu za ki ulinzi za Iran na Iran kaufyata, yaani Iran ni rahisi kulipiza kisasi kwa USA but not Israel. Bado utasema hawa wana tegemea msaada kwa 100%? I doubt.
3. Houthis wamempeleka mchaka mchaka USA, wamejaribu kum beep Yahudi just once; salamu walizo zipata hawana hamu nae. Bado utasema hawa wanategemea msaada pekee yake from USA? You can fool anybody any time but you cant fool yourself everytime bro. Jamaa wana kitu, hawa wana uwezo, tusidanganyane. Ukraine imesaidiwa na mataifa yote ya NATO but bado imeshindwa kukomboa hata jimbo moja, sio Yahudi
Ndio maana nilianza na, " binafsi napenda kuushirikisha ubongo wangu...." nikatoa na facts kadhaa, ninazo facts zingine lakini kwasababu ya mitazamo ya kidini, tuishie hapoHuwezi ingia front na yahudi bila baba yao kuwasaidia.Kitu kipo ila kimeubeba uZungu ndani ya Israel.
Dini tena,okayNdio maana nilianza na, " binafsi napenda kuushirikisha ubongo wangu...." nikatoa na facts kadhaa, ninazo facts zingine lakini kwasababu ya mitazamo ya kidini, tuishie hapo
Tuendelee na mjadara kakaDini tena,okay
Tunaendelea,Hawa wazungu wameuzunguka na wanaolinda sana Israel.Na kwa asili yao kwa jini wangu ni kama wanawashikia nafasi.Israel ni best ila sio kwa kiwango elezewa.Tuendelee na mjadara kaka
Ulikuwa unajizungusha tu hiyo ndio point yako.daa MYEMEN anatisha sio poaa..