Binafsi huaga napenda kushikirisha ubongo wangu kwa kila ninacho kisikia na kukiona, yawezekana kweli Marekani anawasaidia Waisrael but not to that extend bro.
1. Askari wa IDF ni Wayahudi pure, sio wa kukodi
2. Iran iliwahi kuchokozwa na USA na Iran ilijibu, hadi leo is like USA hataki ugomvi na Waajemi wale, sio Wayahudi. Wayahudi wanajipigiaga Iran wanavyo taka, wameua viongozi wa Hamas wakiwa kwenye ulinzi mkali na tena jijini Tehran, wameua rais wao, wameua wana sayansi wao tena nyumbani kwao na makao makuu ya serikali, wamepiga sehemu muhimu za ki ulinzi za Iran na Iran kaufyata, yaani Iran ni rahisi kulipiza kisasi kwa USA but not Israel. Bado utasema hawa wana tegemea msaada kwa 100%? I doubt.
3. Houthis wamempeleka mchaka mchaka USA, wamejaribu kum beep Yahudi just once; salamu walizo zipata hawana hamu nae. Bado utasema hawa wanategemea msaada pekee yake from USA? You can fool anybody any time but you cant fool yourself everytime bro. Jamaa wana kitu, hawa wana uwezo, tusidanganyane. Ukraine imesaidiwa na mataifa yote ya NATO but bado imeshindwa kukomboa hata jimbo moja, sio Yahudi