Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,941
- 6,033
Hiyo nchi sio yakuishi kwani Wazungu wamekosa Seem ya kuishi mbona kama wanadhalilika sana,, au nimimi tu ndio nawaza ivyo.Dakika 20 zilizopita, kombora la balestiki la Houthi lilirushwa kuelekea Israeli. Picha za waogeleaji wa pwani huko Tel Aviv zikikatishwa na ving'ora. Kombora hilo lilipopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga, hakuna majeraha yaliyoripotiwa.
Wewe ndiyo unawaza hivyo!!Hiyo nchi sio yakuishi kwani Wazungu wamekosa Seem ya kuishi mbona kama wanadhalilika sana,, au nimimi tu ndio nawaza ivyo.
Ndio ni wewe tu ndio unawaza hayo kwani hata waarabu unaoabudu utamaduni wao leo hii hawana hayo mawazo.Hiyo nchi sio yakuishi kwani Wazungu wamekosa Seem ya kuishi mbona kama wanadhalilika sana,, au nimimi tu ndio nawaza ivyo.
Wewe hupendi bikra?Waarabu wanapenda Kufa sanaa
Kweli wanadhalia kama sisi ikiwa maisha ndio ayo kila wkt rohoo umeishika mkononi unaikimbiza mbio kwenye Shimo!!!Wewe ndiyo unawaza hivyo!!
Kuna kitu kinaitwa" Safety First" nchi nyingi hawatilii maanani hapo wanachukua tahadhali na Tahadhali ni mhimu sana katika maisha. Wewe huwezi kuona umhimu wa hilo huku hiyo ni kama jadi Safety ilishaingia kwenye damu. Watu wanatii bila Shuruti!!
AiseeeeWewe hupendi bikra?
Moral of this video, " Kuna tuliosoma Physics halafu kuna wale walio ielewa Physics na sayansi kwa ujumla "Dakika 20 zilizopita, kombora la balestiki la Houthi lilirushwa kuelekea Israeli. Picha za waogeleaji wa pwani huko Tel Aviv zikikatishwa na ving'ora. Kombora hilo lilipopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga, hakuna majeraha yaliyoripotiwa.
Hebu tuweni wakweli guys, bila kua na mihemko, mahaba wala chuki; nchi ipo vitani na majirani zake karibu wote, yaani Iran, Lebanon, Yemen, Syria na bado wananchi wake wanaweza kwenda beach kufurahia maisha? Halafu ki nchi chenyewe sasa, kama mkoa wa Dar es Salaam. Hivi inawezekana wapi pengine hali kama hiyo?Wan
Kweli wanadhalia kama sisi ikiwa maisha ndio ayo kila wkt rohoo umeishika mkononi unaikimbiza mbio kwenye Shimo!!!
maisha yao na yule mnyama Amza kasongo sio kama yanatofauti yoyote !!!
embu waone namna wanatoka mbiooo daa MYEMEN anatisha sio poaa..
Marekani mkuu hakipo na nguvu hizo mkuu,shida ni amerika.Hebu tuweni wakweli guys, bila kua na mihemko, mahaba wala chuki; nchi ipo vitani na majirani zake karibu wote, yaani Iran, Lebanon, Yemen, Syria na bado wananchi wake wanaweza kwenda beach kufurahia maisha? Halafu ki nchi chenyewe sasa, kama mkoa wa Dar es Salaam. Hivi inawezekana wapi pengine hali kama hiyo?
Iyo nchi inapigana na vikundi houth,hamas, hezblah haipigani na nchi ata Moja mkuuHebu tuweni wakweli guys, bila kua na mihemko, mahaba wala chuki; nchi ipo vitani na majirani zake karibu wote, yaani Iran, Lebanon, Yemen, Syria na bado wananchi wake wanaweza kwenda beach kufurahia maisha? Halafu ki nchi chenyewe sasa, kama mkoa wa Dar es Salaam. Hivi inawezekana wapi pengine hali kama hiyo?
Nenda wew mwarabu kaishiHiyo nchi sio yakuishi kwani Wazungu wamekosa Seem ya kuishi mbona kama wanadhalilika sana,, au nimimi tu ndio nawaza ivyo.
Uzuri israel ina kila kitu kwa ajili ya usalama ving’ora vya tahadhari mpaka dakika 20+ unakuwa na uhakika linatua wapi na watu wote wanakuwa kwenye sehemu salama. Nimekuwekea hapo chini video ya vibaka wa kipalestina baada ya kushambuliwa walivyotimka kama kondoo waliokosa Mchungaji washukuru tu israel haina mbaya kama wao walivyo wangeliisha mara moja.Uko zako beach umetulia unafurahia maisha na kupoteza mawazo mara ving'ora vinalia inakata stimu sana, naona raia muda wowote akili zao zimejitune kuwa kinaweza kunuka hivyo lazima ukae chonjo.
Swali bado ni lile lile tu; nchi gani nyingine inaweza kupigana na vikundi vyenye uwezo wa kurusha maroketi ya masafa marefu, kudungua ndege both drones na ndege zingine za kivita, vikundi vinavyo weza kupiga hadi nyambizi za USA na kumzuia USA asipitishe meli zake, halafu vikiwa vina uwezo wa namna hiyo, mpinzani wake raia wake wanakwenda beach kustarehe na kula maisha kawaida? Nitajie nchi moja tu duniani hapaIyo nchi inapigana na vikundi houth,hamas, hezblah haipigani na nchi ata Moja mkuu
Marekani mkuu hakipo na nguvu hizo mkuu,shida ni amerika.