Housemates wanatafutwa walio interested | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Housemates wanatafutwa walio interested

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKATA KIU, May 22, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers and sisters,

  Polen sana na majukumu, inshort mi ni kijana wa kiume 25yrs of age, natafuta vijana wenzangu 2 na mimi wa tatu, wanaoanza safari yao ya maisha ili for arrangement tupange a full house, with water and electricity, fenced then tugawane vyumba tuishi pamoja, as kutafuta small apartment nzuri ni kazi sana na pia ni expensive ukilinganisha na kupanga nyumba nzima katika maeneo mazuri yanayofikika kwa urahisi muda wote,

  House should be around survey, sinza ya m city, mwenge, bamaga or makumbusho/k nyama, kwa research yangu through madalal unakuta 2 rums apartment with jiko inapangishwa lak around lak 2, wakat nyumba nzima ni 300-400, so tukiwa wa 3 its cheap and safe..

  Aliye interested ani pm na itapendeza tukiwa age mates btn 25-28 tena bachelors so that rahis kuelewana, also wakiwa ni graduates wanaojiendeleza na masomo awe proffessional examz nitafurah zaidi as company ya kupiga msuli after work itakuwepo.

  Nb: tutambuane shughuli zetu first tutapoonana for arrangements as tusije tukaleteana matatizo

  Ni wazo tu wadau kama unapinga ipotezee
   
 2. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jambazi Jambazi Hivi, Mkaba mkabaji Hivi Hutaki mkuu?, Well Good idea My brother Hope watajitokeza soon
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  poa mkata kiu
   
 4. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni wazo nzuri sana kwa maisha ya sasa, ila inabidi ukiwapata, mkikubaliana kukaa pamoja inabidi uandae kamkataba kenu wenyewe watatu au wawili mbali na mwenyenyumba, Kwani wenye nyumba wengi huwa wanataka kupangisha mtu mmoja tu. Nakwambia hivyo kwani yamenikuta mimi na niliokuwa na kaanao wamekimbia mpaka leo amelipa mmoja mwingine kala kona. Watu wengine wanakuwa wazuri siku mbili tatu akikubadilikia hapo utashangaa mwenyewe, yaani ndugu yangu mambo ya kukaa pamoja watu wenye tabia tofauti ni kazi kubwa sana, Labda ukitaka mkae watu wawili tu wasizidi watatu, na kwambia hivyo sababu yamenikuta, Uwe makini sana sana
   
 5. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa ushauri, kaka amekukimbia sehem gani? Kama vp niliplace, serious I am looking for a place as soon as possible, but iwe good house nipo tayari hata leo
   
 6. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ila uwe makini mnaweza mkawa wengi..mmoja wenu akawa sio mwema.. nyie mmeenda kazini yeye huku nyuma akaja na fuso akawaachia nyumba kama msikiti...
   
 7. Techintz

  Techintz Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hohoohohoh
   
 8. Techintz

  Techintz Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kijana uwe makini sana!Bongo apa sanasana kama umetoka nje ya Bongo watu watajinafasi vizuri kukudhulumu
   
 9. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haya ya kutafutia mtandaoni sio sawa. Ulaya wanaywaweza sababu sio rahisi kuingia mitini. Ila huku kwetu unapotelea magomeni unaibuka sinza na kuendelea maisha kama kawaida, hakuna atakae kupata unless uamue.
  Idea yako sio mbaya ila bora utafute katika watu unao wajua, kama marafiki, colleagues au relatives hivi. Kama unaweza, ningeshahuri utafute housemates wanawake, kidogo wana afadhali.
   
 10. Fighter

  Fighter JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Good idea boy!, unanikumbusha mbali nilipokua kijana kama wewe, tried that one lkn iliwork kwa tabu kwa kumpata mate mwenye tabia za ajabu hasa.

  All in all good luck na mkikosa maeneo hayo nitafute will give you different taste ya apartment.
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  pole mkata kiu,,,,,,
  mimi staki hiyo kitu kwa mitabia yetu binadamu ilivyo migumu heri niishi huku huku tandale nnakoweza kumudu malipo kwa sasa........nikipata zaidi nitahamia huko nnapopataka
   
Loading...