Housemate is needed in Dar es Salaam

Mkuu tuma picha yako kwanza nnaweza nikashawishika
 
Kwa ratio uliyoweka ni wazi unatafuta mume pengine ndo ubunifu mpya wa kupata mume kwa wadada hawawezi kubali hiyo ratio ya ajabu
 
mi naishi mwenyewe kunduchi kwenye nyumba ya vyumba viwili, njoo na hyo laki nkupe chumba kimoja uishi, kitanda kipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…