Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Kuna dada hapa kinondoni mume kamwacha kwa sababu ya simu yeye kila wakati ni simu tu, ma beki tatu wanaoletwa hawakai kazi nyingi kupita maelezo mama anachati tu sasa yamemkuta.Si inategemea na mkataba/makubaliano yao???
Mimi wife kashaniambia yeye binafsi hahitaji beki tatu, familia ya watu wawili plus one child haimshindi kulea.Mke wang siku akiniambia anahitaj bek 3 ndo talaka yake siku hyo...
Wala sioni shida kumsaidia kazi mtumishi wako kama muda unakuruhusu . mfanye afurahie kuishi kwako, anatafuta maisha na yeye usimfanye mtumwa kwa visenti vidogo unavyompa.Msaidie kazi huyo beki tatu
Mkeo anafanya kazi?Mimi wife kashaniambia yeye binafsi hahitaji beki tatu, familia ya watu wawili plus one child haimshindi kulea.
Nikasema asante Mungu, mimi niliona kama vile kazi zinamuwia nyingi akasema anazimudu bila shida.
Hao wanao mwachia beki Tatu kila kitu wamezidi loh mi hata msosi wa beki Tatu sili wao sijui wanawaamini vipi beki wenyewe washirikina, uelewa mdogo wachafu kwenye kupika wengine hutia had m.... In my life sipendi beki Tatu aisee sema MTU ukiwa na majukumu no way out ila sio kupika aiseee
Wengine mkuu usafi, kupika, sijui kupangilia vitu home hawajui wanajificha nyuma ya beki tatu.Kuna wengine wanawaona hao beki 3 kama watumwa vile....kiukweli kama umeajiriwa angalau ule muda wa jioni jishughulishe basi kwa kupika chakula cha familia na pia siku za w.end fanya usafi na kupanga mazingira mkiwa na beki 3 utaelewa mapungufu ya nyumba yako pamoja na kuieweka safi.....
Mimi ndo nilietoe hiyo post kwamba mke wangu hafanyi kitu wakati ana mshahara ,maana yangu haikuwa tugawane majukumu nusu kwa nusu sivyo wala haiwezekani kwa sababu mimi ndo nilie oa,nilichokuwa namaanisha ni kwamba ,mwanamke inatakiwa achangie kwenye mambo madogomadogo ,mfano unakuta mimi sipo nyumbani na labda sukari imeisha ,unaporudi kazini anakuambie sukari imeisha naomba hela nikanunu wakati yeye kapata mshahara Jana ,hapa ndipo ninapoahangaa iweje aniombe mimi pesa ya kitu kidogo kama hicho wakati mshahara anao?Binafsi mi sina dada wa kazi mpk ss coz nimeolewa na sina mtt. Ila ukishapata mtt na uko kazini dada lazima. Na wanaume lzm mjiongeze na mpunguze utemi. Haiwezekani nikipata mshahara unasema tushee majukumu. Tunatoka kazini pamoja unataka niingie jikoni. Km ni hvy basi mshahara wako ndo uhudumie nyumba. Kuna post nlioka mkaka analalamika humu mkews hatoi pesa na ana mshahara. Ukimuuliza kama yy anafua au kupika atakwambia sio kazi yake. Kwa nn mnawaonea wanawake hvy?
Aise kuna wanaume wengine wanabahati...Lol!!Msaidie kazi huyo beki tatu
Hahahaha kweli mkuu kuna wanawake wanajua kutoa maagizo kufanya wao hapana...hawapendi kujishughulisha ....kwa upande wangu kuwa na beki 3 hata kama unamlipa sijisiki kumwachia kila jambo hata kama nimechoka unamsaidia hata kutenga chakula mezani ajione naye ni mtu katika familiaWengine mkuu usafi, kupika, sijui kupangilia vitu home hawajui wanajificha nyuma ya beki tatu.
Na kweli ni ww uliandika.Mimi ndo nilietoe hiyo post kwamba mke wangu hafanyi kitu wakati ana mshahara ,maana yangu haikuwa tugawane majukumu nusu kwa nusu sivyo wala haiwezekani kwa sababu mimi ndo nilie oa,nilichokuwa namaanisha ni kwamba ,mwanamke inatakiwa achangie kwenye mambo madogomadogo ,mfano unakuta mimi sipo nyumbani na labda sukari imeisha ,unaporudi kazini anakuambie sukari imeisha naomba hela nikanunu wakati yeye kapata mshahara Jana ,hapa ndipo ninapoahangaa iweje aniombe mimi pesa ya kitu kidogo kama hicho wakati mshahara anao?