Jamani jamani mkuu hii ni vita kali sana na ndani ya nyumba yangu hakutakuwa na amani na kila nikirudi bii mkubwa atakuwa kanuna na hatakuwa na safari na akienda safari basi ya msiba na atampa livu ili isije kuwa tena mke mdogo maana ni bomba kweli no tusi
Mai weeeee
Wababa wa nyumba changamkeni