Housegal anamimba mmiliki ndio kitendawili kingine..

Housegal anamimba mmiliki ndio kitendawili kingine..

msaidie tu maana usipomsaidia wewe atasaidiwa na nani??maana kwa kazi aliyokufanyia muda wote huo sidhani kama umeshamlipa ata nusu ya uzito wa kazi aliyofanya muda wote mliokaa nae..
 
msaidie tu maana usipomsaidia wewe atasaidiwa na nani??maana kwa kazi aliyokufanyia muda wote huo sidhani kama umeshamlipa ata nusu ya uzito wa kazi aliyofanya muda wote mliokaa nae..
mkuu yaani nimsaidie kwa vipi akae hapo kwangu ajifungulie hapo?hata mimi ninapofanya kazi hawajawezanilipa kwa kiasi na jinsi ninavyowafanyia kazi kubwa so kwasababu ni makubaliano.
 
Pata kwanza mmiliki halali na wa uhakika wa hiyo mimba ndio uje kuomba ushauri baada ya hapo. Inawezekana kabisa mmiliki halali akawa ni Mume wako mpenzi. Kwa nini Mume wako achanganyikiwe baada ya kujua Housegirl ana mimba? Tafakari na uchukue hatua mapema. Sababu ulizotoa haziwezi kumchanganya Mwanaume wa ukweli na asiyekuwa na hatia hata siku moja. Inawezekana kabisa kuna mchongo umefanyika kati ya mumeo na huyo binti wa kuficha ukweli wa mambo. Wewe unaonekana ni mrahisi wa kuamini watu sana wewe, fanya uchunguzi wa kisayansi inawezekana huyo ni Mke wenzako.
 
kumbuka alikuwa hafanyi kazi bure nilikuwa namlipa tena msharhara mkubwa tofauti na wa mahausigeli ninao wajua ,mimi nani atanilipa fadhila na huyo mwenye mimba ninayemsomesha tena ??

Bora kama mshahara ulikuwa kima cha chini cha serikali, kama ulikuwa unampa 20,000/= lea mimba hiyo ya mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
Dah!Sijui kwanini akili yangu haifanyi kazi kwenye thread hii,sijui uzee!
 
Kuna dada yangu yeye alimtunza house girl mpaka akajifungua na kisha akaendelea na kazi, lakini kwa bahati nzuri huyo binti alikuwa anajimudu kufanya kazi kama kawaida na kutokana na nidhamu aliyokuwa nayo na heshima pia alikuja kupata mume (Sio yule aliyempa mimba) akaolewa kwa sherehe kubwa.
Mimba alipewa na job less mmoja wa kitaa ambaye wala hakuwa responsible kwa mtoto kwani hata mimba aliikataa na sasa jamaa kapata mke na mtoto wa bure.........
sasa mie nifanyaje Mtambuzi maana kubeba mimba kuna mengi sana sio tu kujifungua lol
 
Last edited by a moderator:
unachotakiwa kufanya ni...... oh sorry kumbe mi sijaitwa kutoa ushauri.

Ngoja nirudi zangu chit chat
 
Msubiri kijana arudi umuulize kama ni yeye! Na sababu umesema kijana anasomea ualimu, soon atakuwa na maisha yake, basi atakaa na mkewe kama akiridhia mimba! Meanwhile kwa sasa endelea kukaa naye, akijifungua ataweza kabisa kumlea mwanae huku akifanya kazi na atakuwa mlezi mzuri wa wanao. Huyo kijana akikataa basi angalia vile nafsi yako inakutuma, japo umesema unamlipa vyema basi msaidie ili na yeye awe na sehemu ya kuanzia. Kumbuka sote ni binadamu na huwa tunakosea. Naamini kabisa hiyo mimba haikutarajiwa!
 
unachotakiwa kufanya ni...... oh sorry kumbe mi sijaitwa kutoa ushauri.

Ngoja nirudi zangu chit chat

Mungu saidia mimba iwe ya mmewe naamini house girl ataishi vizuri wkt akisubiri kijacho mme wa nivea atasimamia show
 
Last edited by a moderator:
Pata kwanza mmiliki halali na wa uhakika wa hiyo mimba ndio uje kuomba ushauri baada ya hapo. Inawezekana kabisa mmiliki halali akawa ni Mume wako mpenzi. Kwa nini Mume wako achanganyikiwe baada ya kujua Housegirl ana mimba? Tafakari na uchukue hatua mapema. Sababu ulizotoa haziwezi kumchanganya Mwanaume wa ukweli na asiyekuwa na hatia hata siku moja.
yeye kilichomchanganya ni kwamba alibeba msalaba mkibwa kwa huyo kijana na alikuwa na vision kubwa kwa huyo kijna kwani ndie walifocus aendelezwe akasaidie wale nduguze anachosikitika ni kwamba yule kijana ataishia kuwa mwalimu wa primary na alitegemea amfikishe mbali zaidi bila kukwama na akadai akimaliza amchukue mke wake na yye msaada wake ndio umeishia hapo,atunze familia badala yakuendelea kusoma kijana kakubali mimba ni yake.
 
Bora kama mshahara ulikuwa kima cha chini cha serikali, kama ulikuwa unampa 20,000/= lea mimba hiyo ya mtoto wa mwanamke mwenzio.
namlipa zaidi ya elfu hamsini kama tatizo lako ni hela mambo mengine yote mahutaji yote namfanyia bure
 
WAMAMA muwe mnawafundisha Mahausi geli wenu NAMNA ya kutumia KONDOMU haswa haswa mnapoishi na VIJANA wa KIUME makwenu, ona sasa zigo la mimba limemuangukia nivea
 
Last edited by a moderator:
WAMAMA muwe mnawafundisha Mahausi geli wenu NAMNA ya kutumia KONDOMU haswa haswa mnapoishi na VIJANA wa KIUME makwenu, ona sasa zigo la mimba limemuangukia nivea
hahahahahaha watu8 limenidondokeajeeee nashindwa nifanyaje,kumbe nyumba yangu nayo ni guest house hahahhh
 
Last edited by a moderator:
Msubiri kijana arudi umuulize kama ni yeye! Na sababu umesema kijana anasomea ualimu, soon atakuwa na maisha yake, basi atakaa na mkewe kama akiridhia mimba! Meanwhile kwa sasa endelea kukaa naye, akijifungua ataweza kabisa kumlea mwanae huku akifanya kazi na atakuwa mlezi mzuri wa wanao. Huyo kijana akikataa basi angalia vile nafsi yako inakutuma, japo umesema unamlipa vyema basi msaidie ili na yeye awe na sehemu ya kuanzia. Kumbuka sote ni binadamu na huwa tunakosea. Naamini kabisa hiyo mimba haikutarajiwa!


Mdogo wangu nivea tafakari haya mawazo hapo juu, ni mawazo mazuri. Kumbuka kuwa kwa sasa ukimuacha ataenda wapi na ataishije na mimba hiyo. Muonee huruma, msaidie mpaka huyo aliyempa mimba atakaporudi likizo na ukweli kubainika. Inawezekana huyo kijana akawa kasingiziwa mimba!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom