ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,057
- 973
Mara krrruup!houseboy kazama chumbani kwa mama mwenye nyumba bila hodi.
(Mother house):We Mengi,mbona unaingia chumbani bila hodi,ukinikuta mtupu je?
(MENGI):Hapana mama haiwezekani mimi kukukuta ukiwa uchi.
(MOTHER HOUSE):Kwanini haiwezekani?
(MENGI):Kabla sijaingia ndani huwa nachungulia kupitia tundu la funguo.Nikikuona ukiwa mtupu siingii,naendelea kukuchungulia mpaka ukivaa ndo naingia.