Houseboy natafuta kazi

Houseboy natafuta kazi

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
130
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24. Natafuta kazi ya houseboy/ housekeeping hapahapa Dar es salaam. I am fluent in English, Swahili, Haya, a little Arabic and am planning to learn Chinese.

Niko vizuri kwenye mapishi na madikodiko. Just send me a pm if you are intersested in hring me or contact me via 0654262419.
 
mkuu umejaribu option nyingine zimeshindikana??..au unamahaba na hiyo kazi?
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24. Natafuta kazi ya houseboy/ housekeeping hapahapa Dar es salaam. I am fluent in English, Swahili, Haya, a little Arabic and am planning to learn Chinese.

Niko vizuri kwenye mapishi na madikodiko. Just send me a pm if you are intersested in hring me or contact me via 0654262419.
Hapo kwenye red hapo!
 
wakuu ina maana siku hizi hamuajiri ma houseboy................sijapata offer hata moja tangu jana.....au cv mbovu????????
 
Labda wameogopa HB sharo, full i-pad etc mshahara utataka 200k, af mambo ya kidumu!!!
hahaha.............mi sio sharo wala nini ni kazi kwa kwenda mbele.....................wasiogope!!!!!
 
Yeah hii ndio thamani ya Sisi wahaya. Hata house boy ni full ung'eng'e...tofauti kabisa na makabila mengine!

Wahaya mna mbwembwe sana..mtu mwenye degree na aliyeishia primary unaweza ushindwe kuwatofautisha
 
Wahaya mna mbwembwe sana..mtu mwenye degree na aliyeishia primary unaweza ushindwe kuwatofautisha

Mhaya wa darasa la7 na mtu mwingine wa degree wa kabila lingine, huyu wa std7 atakuwa manager, wa degree atakuwa karani....

Ndivyo tulivyo!:sly:
 
Wahaya mna mbwembwe sana..mtu mwenye degree na aliyeishia primary unaweza ushindwe kuwatofautisha

mkuu sio mbwembwe na wala mi sio darsa la saba..............ila kwa sasa nimeona hii house keeping ndo itanifanya niwe millionaire the next year
 
Mhaya wa darasa la7 na mtu mwingine wa degree wa kabila lingine, huyu wa std7 atakuwa manager, wa degree atakuwa karani....

Ndivyo tulivyo!:sly:
mr bigurube we hutaki house boy.......niajiri nikupikie breakfast ya bigurube na nkonjwa plus njoge with fried eggs.....teh teh teh
 
Back
Top Bottom