ndoo alipe mtoto wa watu huu upuzi wa hali ya juu sana angekuwa mtoto wako ungejisikiaje ww hebu muwe na utu mahouse girl mnawatesa sana mpaka wanawafulia na chupi zenu tumieni utu50,000
saa zingine kama haupo interested na kitu ni bora ukakaa kimya mkuu, nimesema ambaye yupo interested ani PM sasa wewe povu linakutoka kwa nini?ndoo alipe mtoto wa watu huu upuzi wa hali ya juu sana angekuwa mtoto wako ungejisikiaje ww hebu muwe na utu mahouse girl mnawatesa sana mpaka wanawafulia na chupi zenu tumieni utu
l[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji16] povu tena logic yangu iko pale pale nimekuona ww kidogo mstarabu huyo house girl ataishi vizuri any atafanyia kazi tz au kenyasaa zingine kama haupo interested na kitu ni bora ukakaa kimya mkuu, nimesema ambaye yupo interested ani PM sasa wewe povu linakutoka kwa nini?
Samahani unapoandila 50k maana yake waijua?Kama heading inavyojieleza nahitaji msichana wa kusaidia kazi za ndani.
-Salary 50K/month.
kwa aliye tayari njoo PM kwa maelezo zaidi.
sawa jambazi nimekupata,Kwa hiyo hela nakushauri mtafute mdogo wako wa kike!!
Na jirani yangu hapa Arusha analipwa 250k na bado anataka kuacha kazi aongezewe salary
Wew unakuja kusema 50k? Kanunue gazeti ujipepee!
Acheni unafki hao wanaosema 50,000 ni ndogo waulizen wao house maid wanawalipa laki ngapi?House maid analipwa 50K??? Mie wangu namlipa 30K she is happy and I know it[emoji6]