Mshiiri JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 2,012 Reaction score 516 Jan 1, 2011 #1 Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM.
Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM.
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 657 Jan 1, 2011 #2 Tangaza ajira bwana sio kumtafutia ndg kazi isiyojulikana
M Mapinduzi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 2,418 Reaction score 103 Jan 1, 2011 #3 Mshiiri said: Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM. Click to expand... Please mention the job description, renumeration, duty station and other important information
Mshiiri said: Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM. Click to expand... Please mention the job description, renumeration, duty station and other important information
M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 764 Jan 4, 2011 #4 true mention description, kazi mji gani pia?labda utapata humu watu waulizie walinzi wajuao wenzao marafiki or ndugu zao Uwiano Maalum said: Please mention the job description, renumeration, duty station and other important information Click to expand...
true mention description, kazi mji gani pia?labda utapata humu watu waulizie walinzi wajuao wenzao marafiki or ndugu zao Uwiano Maalum said: Please mention the job description, renumeration, duty station and other important information Click to expand...
jino kwa jino JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 794 Reaction score 192 Jan 4, 2011 #5 jike au dume?
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Jan 5, 2011 #6 Mshiiri said: Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM. Click to expand... weka sifa za mwombaji!
Mshiiri said: Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM. Click to expand... weka sifa za mwombaji!
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Jan 5, 2011 #7 kuna dada namfahamu anasifa zifuatazo; katembea na waume wasiopungua 10 ambao walikuwa ni mabosi wake 🙂 ana uzoefu wa miaka 20 katika fani hii ametembea na watoto wa kiume wa mabosi wasiopungua wa 4 anajua kupika mpaka kuwatengea waume za watu maji ya kuoga hupendelea sana vazi la khanga nyepesi wakati wa jioni
kuna dada namfahamu anasifa zifuatazo; katembea na waume wasiopungua 10 ambao walikuwa ni mabosi wake 🙂 ana uzoefu wa miaka 20 katika fani hii ametembea na watoto wa kiume wa mabosi wasiopungua wa 4 anajua kupika mpaka kuwatengea waume za watu maji ya kuoga hupendelea sana vazi la khanga nyepesi wakati wa jioni