House girl

House girl

yuya

Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Tunatafuta mfanyakazi wa ndani (house girl).
Tunaishi kibamba . Mimi na mke wangu ni watu wazima tumeajiri na hatuna mtoto mdogo. Awe mpenda usafi na mcha Mungu. Tutamsaidia kuendelea kielimu akipenda.
 
Back
Top Bottom