jrmlaurence
Member
- Dec 2, 2010
- 80
- 57
mnakaa mnawaza hayo tu, mda wote, sasa hapo hiyo post inatusaidia nini hapa? hlf na wewe useme ni Great thinker.
...'Wakusoma', kwanini usisome kwa jukwaa husika?!
wa2 wengine mnaboa we unaingia jukwaa la utani na madaftarili utuoshee au? Sa hiyo mmu yako ni ile ya kubeba emulsion explosive au?
kweli we chiz,somaa kwanza jukwa linaitwaje,kapimwe akiri wewe!umevamia jukwaa...kwel we wa kusoma.mnakaa mnawaza hayo tu, mda wote, sasa hapo hiyo post inatusaidia nini hapa? hlf na wewe useme ni Great thinker.