House Girl anahitajika

Opaque

JF-Expert Member
Oct 24, 2008
1,359
719
Ninahitaji kumuajiri House Girl wa umri wa kati ya miaka 15 hadi 25, ambaye hana mume wala mtoto, na pia asiwe na mashetani/majini. Kituo cha kazi ni Dar es Salaam, na malipo tutakubaliana na muhusika au mlezi wake. Mbali na mshahara, akifuzu probation period (miezi sita) atapewa simu na pia ataunganishwa katika bima ya afya ya NHIF. Anayemfahamu mwenye simu atumie PM kuwasiliana nami.
 
miaka 15 unataka umfanyaje?
Nataka anifanyie kazi za nyumbani bana! Nipo serious, ninajiheshimu na ninaheshimiwa na wapiga kura wangu, so nahitaji house girl kwa ajili ya kusaidia familia yangu kazi ndogo ndogo
 
kama ana cm yake tayar haruhusiwi kuja nayo!!?
Hata serikalini ukistahili kupewa nyumba, na kama hutaki kuishi humo, basi utalipwa house allowance. Kama tayari ana simu nitamlipa communication allowance.
 
Nataka anifanyie kazi za nyumbani bana! Nipo serious, ninajiheshimu na ninaheshimiwa na wapiga kura wangu, so nahitaji house girl kwa ajili ya kusaidia familia yangu kazi ndogo ndogo
wewe ni mbunge au diwani au nani????????unataka naye akale hela ya wapiga kura wako ?
 
Hapo kwenye alama nyekundu si ungeenda kuwachukua wapiga kura wako
 
Vipi ukipata wa kwenda na kurudi?
Sawa tu, ili mradi anihakikishie kufika kazini kila siku. Atakuwa chini ya uangalizi (probation period) na hapo nitajua kama anaweza kumudu kwenda na kurudi
 
wewe ni mbunge au diwani au nani????????unataka naye akale hela ya wapiga kura wako ?
Wapiga kura hawapatikani kwenye ubunge na udiwani tu, kwani Yanga wamepigia kura Manji kuwa diwani? Tusitoke nje ya mada, I need a h/g
 
wewe ni ke/me maana dunia haiaminiki nikimwambia mzazi wa mtu kuna baba anataka h/g atanitoa mbio nahisi hapa sio mahala pake zungumza vizuri na wapiga kura wako watakutaftia kama ukifika mtaani kwenu unapandisha tinted za gari imekula kwako then kama upo dar haina h/g utaletewa mabaamed uliza pia kijijini kwenu au watu unaowafahamu mikoa hii Iringa,singida ,songea,kigoma
 
Basi bwana, ngoja nisubiri wengine watasemaje!
 
wewe ni ke/me maana dunia haiaminiki nikimwambia mzazi wa mtu kuna baba anataka h/g atanitoa mbio nahisi hapa sio mahala pake zungumza vizuri na wapiga kura wako watakutaftia kama ukifika mtaani kwenu unapandisha tinted za gari imekula kwako then kama upo dar haina h/g utaletewa mabaamed uliza pia kijijini kwenu au watu unaowafahamu mikoa hii Iringa,singida ,songea,kigoma[/QUt Jamani c kuna binti nilimtangaziaga tangaz anataka kaz za aina hiyo au nd tangaz mlipuuzia mkajua utani wa kutoka kanda ya kati maana kwa dar ndugu utaletew kit cha ajab embu check hiy namba kama jembe utalipata 0saba1sita 07nne20tatu kila la heri.
 
Mke wako mgeuze h/g,cku iz watoto wanaenda shule hata kama ni za kata hzo hzo,sio upuuzi wako na ufataki ndo una u entertain hapa. Au nenda pale ambianse usiku au bugurun ukawachague pale anaekufaa kuwa housegeli sio hao watoto wa shule
 
Mi nataka hiyo kazi ila mkeo hana vurugu? Halafu simu ninayo, labda uninunulie modem ya ttcl maana hizi zingine zinanizingua.
 
mtoto wa miaka 15? Nyie ndio watesaji wakati unajua fika ni umri wa kuwa shule halafu oh naheshimu wapiga kura
 
wewe ni ke/me maana dunia haiaminiki nikimwambia mzazi wa mtu kuna baba anataka h/g atanitoa mbio nahisi hapa sio mahala pake zungumza vizuri na wapiga kura wako watakutaftia kama ukifika mtaani kwenu unapandisha tinted za gari imekula kwako then kama upo dar haina h/g utaletewa mabaamed uliza pia kijijini kwenu au watu unaowafahamu mikoa hii Iringa,singida ,songea,kigoma

Hapo kwenye Red umechemka siku hizi tunasomesha. Na watoto unakuta darasa zima wanafaulu kwenda shule japo za KATA.
 
Back
Top Bottom