House girl anahitajika

House girl anahitajika

mtuwatofauti

Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
25
Reaction score
8
Wana jamvi msichana wa kazi anahitajika haraka Arusha mjini bei 40000 kwa mwezi kazi yake ni usafi,kupika,na kukaa na mtoto wa miaka mitatu kuhakikisha anakula anashiba. Mawasiliano 0762742349
 
Pesa gani hiii angalau 70 bhana mnawachukuliaje watu hawa mm nko maeneo walipo weng NA weng wanatafuta ila kwa bei io hapana hata roho inaniuma
 
Yaani kazi zote hizo, kupika usafi+ kumuangalia mtoto hata buku jero kwa siku haifiki?
Japo utakuwa unampa malazi na chakula but hayo malipo ni kidogo !...
 
Pesa gani hiii angalau 70 bhana mnawachukuliaje watu hawa mm nko maeneo walipo weng NA weng wanatafuta ila kwa bei io hapana hata roho inaniuma
Mchana atakuwa anapika Chakula chake na mtoto tu, usafi wa nguo sio kila siku, kudeki ni seburi na vyumba viwili tu, anakula na kulala bure.. familia ni mimi, mke wangu, mtoto na yeye... Kweli hapo kuna kazi ipi ya kulipwa sabini au laki? Tuacheni uzembe WA tz bhana... Kijijini huko watu wanashinda kutwa nzima kwa 2500 kibarua kwa kulima robo heka... Sembuse shughuli za nyumbani ndan ya masaa mawili unamaliza unakaa kwenye TV kuangalia series... Anyway! Kwa familia kubwa zaid ya 40000 ina matiki. Wape namba zangu hao unaowasema.
 
Mkuu hapa ndo tunakosea wengi wetu. Usimwangalie House Girl kama gatekeeper tu- kula na kulala. Hebu mtizame kama raia yeyote anayetafuta maisha achomoke. Jiulize wewe ofisini ungekuwa unalipwa mshahara mdogo (kisa unapewa lunch mfano) ingekuwaje? Would you feel valued?

My point is: Wafanyakazi wa ndani (na wengineo) lazima tujitahidi kuwalipa ujira unaoendana na hali halisi ya maisha na kadri ya uwezo wetu (by the way ajiri house helper if you can afford her/him). Kwa kufanya hivo watakuwa motivated na wataiona faida ya kazi-na hiyo kada itaheshimika. Kuhusu kulala you can as well make arrangement akajitegemea.

Ni kwa mawazo kama haya, mpaka leo migogoro ya house girls na waajiri haiishi na visa vingine vya kusikitisha. Kwa sababu kwa nia njema kabisa huwezi ukamlipa mtu 40k ukategemea kwamba atakuwa productive au athamini kazi.

Hivi kweli unaweza ukampa mtu 40K na bado ukategemea aangalie mtoto wako with full attention and dedication?

Mkuu kunradhi sina maana mbaya na tangazo lako lakini kama vijana wa leo, nasisitiza lets be different from wazee wetu. Tujue kabisa kazi ni uhai. Hata huyo house girl na yeye ana ndoto kama wewe na mimi. One day anatamani aishi kwake. awe na maisha yake independent. 40k haiwezi mfikisha huko.

NB: Mimi nilipata House helper (mshahara kima cha serikali-but all costs on me), na nilimwambia nitamwendeleza kimasomo (nimlipie karo wakati anaishi kwangu na naendelea kumlipa mshahara-kama hela ya kujikimu). Alikaa kwangu almost three years. she was part of my family. Lakini bahati mbaya mji ukamchanganya akaanza ukorofi-shule akakataa kutafuta. Alinivuruga sana. Lakini you cant believe me, I gave her second chance. Nikamwambia tafuta course yoyote nitakulipia lakini hutakaa kwangu. Sasa yuko shule namlipia karo na matumizi nampa. Ni sadaka nilitoa lakini najua utafika mda ataangalia nyuma ataona kwamba I did something for her. Hata mimi I made lots of mistakes in life and some people gave me second chance.

The point is watumishi wa ndani tuwathamini kwa kulipa vizuri. wengi ukorofi wao unasababishwa na sisi wenyewe kuwadharau yet they do so much for our families.

Masanja
 
Kama unaona hizo kaz ni rahisi kwanini msizifanye nyie eti kisa unampa malaz na chakula? Yaan bora ungesema kadri siku zinavoenda utamuongezea ww nikikupa kazi tu ya kushinda na mtoto pekee itakutoa jasho
Kufua sio kila siku lakin si atafua?
 
Mchana atakuwa anapika Chakula chake na mtoto tu, usafi wa nguo sio kila siku, kudeki ni seburi na vyumba viwili tu, anakula na kulala bure.. familia ni mimi, mke wangu, mtoto na yeye... Kweli hapo kuna kazi ipi ya kulipwa sabini au laki? Tuacheni uzembe WA tz bhana... Kijijini huko watu wanashinda kutwa nzima kwa 2500 kibarua kwa kulima robo heka... Sembuse shughuli za nyumbani ndan ya masaa mawili unamaliza unakaa kwenye TV kuangalia series... Anyway! Kwa familia kubwa zaid ya 40000 ina matiki. Wape namba zangu hao unaowasema.
Mtoto anathamani kubwa sana, kwahiyo si kumpikia mtoto tu bali kitendo cha kumuamini kukaa na mtoto ni dhamana kubwa sana. Usiache siku moja akafikiria nini 40k akasepa akamtelekeza mtoto. Kwahiyo kumwachia mtoto si kitu kidogo.
 
Yani kazi zote hizo mshahara 40000? Halafu na yeye ana familia inamtegemea.
 
Mkuu hapa ndo tunakosea wengi wetu. Usimwangalie House Girl kama gatekeeper tu- kula na kulala. Hebu mtizame kama raia yeyote anayetafuta maisha achomoke. Jiulize wewe ofisini ungekuwa unalipwa mshahara mdogo (kisa unapewa lunch mfano) ingekuwaje? Would you feel valued?

My point is: Wafanyakazi wa ndani (na wengineo) lazima tujitahidi kuwalipa ujira unaoendana na hali halisi ya maisha na kadri ya uwezo wetu (by the way ajiri house helper if you can afford her/him). Kwa kufanya hivo watakuwa motivated na wataiona faida ya kazi-na hiyo kada itaheshimika. Kuhusu kulala you can as well make arrangement akajitegemea.

Ni kwa mawazo kama haya, mpaka leo migogoro ya house girls na waajiri haiishi na visa vingine vya kusikitisha. Kwa sababu kwa nia njema kabisa huwezi ukamlipa mtu 40k ukategemea kwamba atakuwa productive au athamini kazi.

Hivi kweli unaweza ukampa mtu 40K na bado ukategemea aangalie mtoto wako with full attention and dedication?

Mkuu kunradhi sina maana mbaya na tangazo lako lakini kama vijana wa leo, nasisitiza lets be different from wazee wetu. Tujue kabisa kazi ni uhai. Hata huyo house girl na yeye ana ndoto kama wewe na mimi. One day anatamani aishi kwake. awe na maisha yake independent. 40k haiwezi mfikisha huko.

NB: Mimi nilipata House helper (mshahara kima cha serikali-but all costs on me), na nilimwambia nitamwendeleza kimasomo (nimlipie karo wakati anaishi kwangu na naendelea kumlipa mshahara-kama hela ya kujikimu). Alikaa kwangu almost three years. she was part of my family. Lakini bahati mbaya mji ukamchanganya akaanza ukorofi-shule akakataa kutafuta. Alinivuruga sana. Lakini you cant believe me, I gave her second chance. Nikamwambia tafuta course yoyote nitakulipia lakini hutakaa kwangu. Sasa yuko shule namlipia karo na matumizi nampa. Ni sadaka nilitoa lakini najua utafika mda ataangalia nyuma ataona kwamba I did something for her. Hata mimi I made lots of mistakes in life and some people gave me second chance.

The point is watumishi wa ndani tuwathamini kwa kulipa vizuri. wengi ukorofi wao unasababishwa na sisi wenyewe kuwadharau yet they do so much for our families.

Masanja
Fully of logic...
 
Pesa gani hiii angalau 70 bhana mnawachukuliaje watu hawa mm nko maeneo walipo weng NA weng wanatafuta ila kwa bei io hapana hata roho inaniuma
si anakula na kulala, pengine anamvalisha..! 40,000/ ni fair kabisa
 
Mkuu hapa ndo tunakosea wengi wetu. Usimwangalie House Girl kama gatekeeper tu- kula na kulala. Hebu mtizame kama raia yeyote anayetafuta maisha achomoke. Jiulize wewe ofisini ungekuwa unalipwa mshahara mdogo (kisa unapewa lunch mfano) ingekuwaje? Would you feel valued?

My point is: Wafanyakazi wa ndani (na wengineo) lazima tujitahidi kuwalipa ujira unaoendana na hali halisi ya maisha na kadri ya uwezo wetu (by the way ajiri house helper if you can afford her/him). Kwa kufanya hivo watakuwa motivated na wataiona faida ya kazi-na hiyo kada itaheshimika. Kuhusu kulala you can as well make arrangement akajitegemea.

Ni kwa mawazo kama haya, mpaka leo migogoro ya house girls na waajiri haiishi na visa vingine vya kusikitisha. Kwa sababu kwa nia njema kabisa huwezi ukamlipa mtu 40k ukategemea kwamba atakuwa productive au athamini kazi.

Hivi kweli unaweza ukampa mtu 40K na bado ukategemea aangalie mtoto wako with full attention and dedication?

Mkuu kunradhi sina maana mbaya na tangazo lako lakini kama vijana wa leo, nasisitiza lets be different from wazee wetu. Tujue kabisa kazi ni uhai. Hata huyo house girl na yeye ana ndoto kama wewe na mimi. One day anatamani aishi kwake. awe na maisha yake independent. 40k haiwezi mfikisha huko.

NB: Mimi nilipata House helper (mshahara kima cha serikali-but all costs on me), na nilimwambia nitamwendeleza kimasomo (nimlipie karo wakati anaishi kwangu na naendelea kumlipa mshahara-kama hela ya kujikimu). Alikaa kwangu almost three years. she was part of my family. Lakini bahati mbaya mji ukamchanganya akaanza ukorofi-shule akakataa kutafuta. Alinivuruga sana. Lakini you cant believe me, I gave her second chance. Nikamwambia tafuta course yoyote nitakulipia lakini hutakaa kwangu. Sasa yuko shule namlipia karo na matumizi nampa. Ni sadaka nilitoa lakini najua utafika mda ataangalia nyuma ataona kwamba I did something for her. Hata mimi I made lots of mistakes in life and some people gave me second chance.

The point is watumishi wa ndani tuwathamini kwa kulipa vizuri. wengi ukorofi wao unasababishwa na sisi wenyewe kuwadharau yet they do so much for our families.

Masanja
...utakuwa mpango wako wa kando umeuupgrade;
..acha kutupanga we ngosha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom