View attachment 38158
Moja ya maneno yenye hekima yanayopatikana kwenye hotuba za mwalimu Nyerere............
"Safari moja Mgiriki mmoja alipitapita humu humu anajitapatapa anasema Serikali yote ya Tanzania ipo mfukoni mwangu, nikasema Mshenzi sana huyu, Serikali yote ya Tanzania ipo mfukoni ana mfuko mpana kiasi gani, nikajua anahonga watu, hawezi kusema hivyo bila kama hahongi watu, lakini vigumu sana kumpata, nikaona lakini hata hivyo nitamfundisha tu, nikamtia ndani. Nikatiwa misukosuko, nikatiwa zogozogo hapa Mwl muachieee nikawaambia Simuachi hana Adabu huyu.
Kuna kiongozi gani anayeweza kusema maneno kama haya leo? Tutaendelea kusikia hotuba kama za jana za Jakaya Kikwete...upupu mtupu...
Nakuunga mkono mkuu,wangesema rais katukana aombe radhi,hiki ni kipindi cha utandawazi unatakiwa uwe makini sana na unachozungumza na kufanya,mfano hii leo mtandio wa mkuu wa wilaya umekuwa issue na mtaji wa kisiasa igunga,kipindi kile kulikuwa hamna nafasi ya kuhoji hotuba ya rais na ilikuwa zidumu fikra za mwenyekiti tu,not this time cha jfNdugu yangu zama hizi za wanaharakati na haki za binadamu hata Nyerere hawezi fanya hivyo alivyo fanya pengine angefanya kwa njia nyingine sio huu udikiteta.
Nakuunga mkono mkuu,wangesema rais katukana aombe radhi,hiki ni kipindi cha utandawazi unatakiwa uwe makini sana na unachozungumza na kufanya,mfano hii leo mtandio wa mkuu wa wilaya umekuwa issue na mtaji wa kisiasa igunga,kipindi kile kulikuwa hamna nafasi ya kuhoji hotuba ya rais na ilikuwa zidumu fikra za mwenyekiti tu,not this time cha jf
View attachment 38158
Moja ya maneno yenye hekima yanayopatikana kwenye hotuba za mwalimu Nyerere............
"Safari moja Mgiriki mmoja alipitapita humu humu anajitapatapa anasema Serikali yote ya Tanzania ipo mfukoni mwangu, nikasema Mshenzi sana huyu, Serikali yote ya Tanzania ipo mfukoni ana mfuko mpana kiasi gani, nikajua anahonga watu, hawezi kusema hivyo bila kama hahongi watu, lakini vigumu sana kumpata, nikaona lakini hata hivyo nitamfundisha tu, nikamtia ndani. Nikatiwa misukosuko, nikatiwa zogozogo hapa Mwl muachieee nikawaambia Simuachi hana Adabu huyu.
Kuna kiongozi gani anayeweza kusema maneno kama haya leo? Tutaendelea kusikia hotuba kama za jana za Jakaya Kikwete...upupu mtupu...
Hayo maneno tu hayana utendaji wala hayana maana sana wla hayajatuletea jema lolote Tanganyika zaidi ya kututumbukiza kwenye lindi la umaskini.
Nyerere alikuwa ni mpiga porojo mzuri lakini utendaji na uongozi wa kuiendeleza nchi ulikuwa patupu. Ndio maana mpaka leo tunalalamika kuwa eti ni maskini, ukweli ni kwamba Mungu katupa kila utajiri Tanzania lakini katunyima akili, moja wapo ni hili la kushabikia mtu aliyetuweka kizani mpaka leo. Huu ni umaskini wa akili.
Nawaonea huruma sana, mnaomshabikia Nyerere, kwa lipi zaidi? lakini hakuna cha kuwaeleza kwani hamtouona ukweli kwa kuwa akili zenu zimefikia kikomo cha kuona, hizo ndio Fikra Pevu.

Umesema vizuri kiongozi. Kosa kubwa tunalolifanya sisi waTz ni kumchukulia Nyerere kama mtu asiye kuwa na makosa wala mapungufu. Tunge kuwa tunaangalia mapungufu yake pengine tungekuwa tumejifunza mambo mengi sana na tuenge epuka kurudia makosa yale yale. Lazima tukubali kwamba Nyerere kama mwanadamu alikuwa na mambo mengi mazuri lakini alikuwa na mapungufu mengi tu. viongozi wetu wa leo bado wanayatumia mapungufu yake kwa vile hatuja amua kuyaweka wazi kuwa haya yalikuwa ni mapungufu. Moja ni hili la kumuweka mtu kizuiizini bila ya kumfungulia mashitaka ya kutoa rushwa. Ukitumia akili kidogo tu utajiuliza kwa enzi ya zama za Nyerere alishindwa vipi kumtia hatiani kwa tuhuma za rushwa. Tubadilikene jamani vinginevyo nchi hii haitatoka hapa ilipo.
Hatumaanishi Mwl Nyerere alikuwa hana matatizo,lakini katika matatizo yake alikuwa na mazuri mengi kuliko mabaya...kinyume na hawa jamaa zetu wa sasa...uchovu asilimia 99.9 mazuri 0.1...Huu ni upuuzi!!
tafadhali mama msalie mtume, tz mimi sijawahi kuona kiongozi mzuri aliyewahi kutokea kama hayati nyerere(RIP)!! KUMBUKA MISINGI YAKE NDIYO INAKUFANYA HATA WEWE FF SASA HIVI UWE UNAVAA HIJABU! OTHERWISE PASINGE KALIKA HAPA BONGO!!!Hayo maneno tu hayana utendaji wala hayana maana sana wla hayajatuletea jema lolote Tanganyika zaidi ya kututumbukiza kwenye lindi la umaskini.
Nyerere alikuwa ni mpiga porojo mzuri lakini utendaji na uongozi wa kuiendeleza nchi ulikuwa patupu. Ndio maana mpaka leo tunalalamika kuwa eti ni maskini, ukweli ni kwamba Mungu katupa kila utajiri Tanzania lakini katunyima akili, moja wapo ni hili la kushabikia mtu aliyetuweka kizani mpaka leo. Huu ni umaskini wa akili.
Nawaonea huruma sana, mnaomshabikia Nyerere, kwa lipi zaidi? lakini hakuna cha kuwaeleza kwani hamtouona ukweli kwa kuwa akili zenu zimefikia kikomo cha kuona, hizo ndio Fikra Pevu.
Nyerere ni rais pekeee aliyejenga viwamda vingi zaidi ya wote kumbukeni alichukua nchi ikiwa na wasomi 13 tuu wenye degree.