Wakuu naomba kuelimishwa juu ya hotuba za Obama, je huwa anasoma sehemu au anakuwa na hints kaandika sehemu (kama Mwl. Nyerere) kisha anazipa nyama on stage au anapanda kavu kavu na kumwaga mambo bila kurefer sehemu yoyote??
Jana jioni ulizuka mjadala mkubwa sana pale mlimani, huku wengi wakisema huwa hasomi wala hana talking point zozote mkononi wala juu ya meza!!
Na kama hasomi sehemu yoyote, Americans hawaoni kama ni risk sana kwa Rais wao kutosoma sehemu kwa sababu ya madhala yanayoweza kutokea katika speech zake especially most critical speeches like the one he dilivered yesterday?
Can our president do the same in his speeches?
Naona kama ina mvuto sana kuhutubia bila kusoma wakuu!
Mjadala Mlimani kati ya wanafunzi ama? Kama wanafunzi wetu hawajui teleprompter kazi tunayo. Ina maana hata Mzee Biden joke yake hawakuipata au?
Kuna watu hata humu ndani O'Bummer akijamba wanaweza kudai ushuzi wake unanukia kama cologne ya Ted Baker!!!
Acha banaaa!
Wewe kuna watu hapa hapa Marekani wanaodhani O'Bummer ni Yesu sembuse wanafunzi wetu wa Mlimani....
Kuna watu hata humu ndani O'Bummer akijamba wanaweza kudai ushuzi wake unanukia kama cologne ya Ted Baker!!!
Wewe kuna watu hapa hapa Marekani wanaodhani O'Bummer ni Yesu sembuse wanafunzi wetu wa Mlimani....
Kuna watu hata humu ndani O'Bummer akijamba wanaweza kudai ushuzi wake unanukia kama cologne ya Ted Baker!!!
Wakuu naomba kuelimishwa juu ya hotuba za Obama, je huwa anasoma sehemu au anakuwa na hints kaandika sehemu (kama Mwl. Nyerere) kisha anazipa nyama on stage au anapanda kavu kavu na kumwaga mambo bila kurefer sehemu yoyote??
Jana jioni ulizuka mjadala mkubwa sana pale mlimani, huku wengi wakisema huwa hasomi wala hana talking point zozote mkononi wala juu ya meza!!
Na kama hasomi sehemu yoyote, Americans hawaoni kama ni risk sana kwa Rais wao kutosoma sehemu kwa sababu ya madhala yanayoweza kutokea katika speech zake especially most critical speeches like the one he dilivered yesterday?
Can our president do the same in his speeches?
Naona kama ina mvuto sana kuhutubia bila kusoma wakuu!
hahahaha!hii kali mkuu.usinambie??
Obama mnafiki tu.Hakuna kiongozi anayeweza kumridhisha kila mtu.Yeye anataka awaridhishe wamarekani,waisrael,wapalestine&arab world,wairan...wapi kama siyo unafiki huu
acha kukariri......Mjadala Mlimani kati ya wanafunzi ama? Kama wanafunzi wetu hawajui teleprompter kazi tunayo. Ina maana hata Mzee Biden joke yake hawakuipata au?
Nyani Ngabu stop being a hater! Obama tries to reconsile the different sides. Kwa mfano, issue ya abortion na speech yake Notre Dome. Angalia na jinsi watu wanapokuwa washabiki wa upande mmoja (fanatics) hadi wenyewe mmeona walivyomfanya yule doctor kule Kansas. U have to understand the other sides views and needs. We are all different, and Obama accepts that! It's a difficult road to take, and many dare not, in order to please a certain group. This creates more hate than love.Kweli babu...yeye anataka kumridhisha kila mtu...hata Marekani kwenyewe anataka awaridhishe wazungu, wanugu, walatino, ma gay, walokole,...mweeee...huyu O'Bummer huyu...oh wait bado kuna Wakenya nao...Lol
Ni kweli Obama anasoma speech zake. Lakini big up inaenda kwa wanaokaa naye chini kuandika, maana unaweza kuona jinsi speeches zake zinakuwa na signature ya obama in its language na ideas.
Watu wanaomsinyanga kwa kusoma speeches, ni madunya! Kwanza, Bush mlikuwa mnamcheka kwa bushism zake, sasa mmepata msemaji mzuri mnamponda. Mbona hamjatulia? Bush had similar resources as what Obama has, akashindwa kuzitumia. Obama anaonyesha uwezo wa kutumia hizi resources to his advantage. Na hii ndo kuwa na akili.
Nyani Ngabu stop being a hater! Obama tries to reconsile the different sides. Kwa mfano, issue ya abortion na speech yake Notre Dome. Angalia na jinsi watu wanapokuwa washabiki wa upande mmoja (fanatics) hadi wenyewe mmeona walivyomfanya yule doctor kule Kansas. U have to understand the other sides views and needs. We are all different, and Obama accepts that! It's a difficult road to take, and many dare not, in order to please a certain group. This creates more hate than love.