Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 575
lissu anawalipua
Wabunge wote? What a contradiction?
Hata zile bendera zetu zimewaingizia fedha za kutosha kuendesha serikali kwa muda mrefu!!Mungu anajua 'muungano ulikuwa mzuri kwa pande zote, tatizo wenzetu waliota ndoto ya mchana wamepata mafuta ktk ardhi yao kabla hawajaanza kuchimba wakaanza kujadili muungano!! Mh atazungumza kwa hoja za maana
Haya yanayoendelea nilisha tabir kwamba lazma yatokee ,namuonea huruma wazirwamuungano cjui kama lissu atakubaliananao
Kama kawa, Kamanda Lawyer Lissu kawachana 'live' bila huruma. Bravoo Kamanda Lissu. Sasa kapanda Kamanda Rev. Msigwa, kama kawa naye kaanza na kidonge cha "Akili ndogo. zisitawale akili kubwa"! Nakuaminia Mchungaji wangu!Bravoo CDM. Ila nawashauri swala la ma'dr' sasa achaneni nalo, yapo mengine mengi tu ya kuwagalagaz!Haya yanayoendelea nilisha tabir kwamba lazma yatokee ,namuonea huruma wazirwamuungano cjui kama lissu atakubaliananao
Hapo kwenye nyekundu, kwa nini kwenye meli za Iran wanapandikiza ya muungano?Muungano gani tena? tangu wazanzibari walivyojinyakulia mamlaka na uhuru kamili, wakawa na wimbo wao wa taifa, bendera, katiba ya nchi yao isiyotambua muungano, amiri jeshi wao (ambaye sasa anapigiwa mizinga 21 kila aendapo nje ya nchi), na hata sasa wana mamlaka kamili ya mahusiano nje ya nchi, Muungano ulikufa, labda kubwa la leo ni mazishi.
"MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA"
Wabunge wote? What a contradiction?
Leo wazanzibar watachafua hali ya hewa bungeni. Kuna uwezekano na tundu lissu kulimwa kadi nyekundu