Hotuba ya Rais na Mashine za Kutoza Kodi za TRA

Hotuba ya Rais na Mashine za Kutoza Kodi za TRA

duuuh mil 3!!! kwa hiyo hizo mashine ni kwa ajili ya wafanyabiashara wa aina gani?:confused3:

mkuu mfanyabiashara kuwa registered kukusanya VAT ni lazima turnover(mauzo) yako yawe yanazidi mil. 40 kwa mwaka,chini ya hapo vat haikuhusu kama mfanyabiashara...ila nanusa ufisadi kwenye huo mradi..
 
Umetamka neno zuri sana Turnover(Mauzo kwa kusisitiza). Sasa fikiria gharama za kuendesha hiyo biashara, halafu jiulize huyu mfanyabishara wa turnover ya 40 mil anabakiwa na faida kiasi gani ambayo itamuwesha kuikopa serikali na TRA 1,000,000.

Huu utaratibu ungekuwa umeanzishwa kwa manufaa ya nchi lazima ungewahusu walipa kodi wakubwa na baadhi ya wale wakati. Ndio baadaye baada ya kuumudu na kujirithisha, TRA na serikali ikawawezesha hawa wadogo kuzipata. Lakini wapi bwana motive hapa ni kutengeneza faida za makampuni yao (vigogo) nahili la kuiongezea serikali mapato limetumika tu kama justification ya mradi huu wa wakubwa.
 
Ukifanya udadisi kujua kuwa wazo na utaratibu huu asili yake wapi utakujagundua mtu kakopi na kupesti kutoka nchi nyingine. Kauchukua kama ulivyo bila maboresho na kuja kuutekeleza katika mazingira tofauti na yale ya asili yake. Muhimu kwake ni kufanikisha usanii tu basi.
 
Acha niende google nikaangalie bei ya mashine, si zinaitwa EFD? nitarudi msiondoke
Wakuu hii issue za machine za VAT receipt inazidi kufukuta,mchakato wake unazidi kuleta mengi ila kuna kila dalili za kuja kufumka mambo ya kutisha. Mungu ibariki tanzania na watu wake.
 
Ukifanya udadisi kujua kuwa wazo na utaratibu huu asili yake wapi utakujagundua mtu kakopi na kupesti kutoka nchi nyingine. Kauchukua kama ulivyo bila maboresho na kuja kuutekeleza katika mazingira tofauti na yale ya asili yake. Muhimu kwake ni kufanikisha usanii tu basi.
Miluzi mingi humpoteza mbwa!wingi wa tuhuma nzito za ufisadi tena zinazoongezeka zinatoa mwanya wa ufisadi zaidi. uvccm plus loliondo plus 2015 hiyo miluzi lazima mbwa apagawe
 
Back
Top Bottom