Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
7,930
Reaction score
991
Ameanza kwa kuzungumzia kilimo na mkutano wa arusha ambao ulikuwa wa kuhimiza uwekezaji katika kutumia zana bora za kilimo
 
Pembejeo za kilimo,tafiti mbalimbali ili kuleta mapinduzi ya kilimo,
 
Masoko,bei nzuri ya mazao na kuboresha miundombinu ya barabara
 
Ni jukum la serikali na wakulima kuhakikisha tunaongeza uzalishaji
 
Misaada imepungua sana kwenye sekta ya kilimo na sasa uwekezaji mkubwa ktk sekta ya kilimo ni wa fedha za ndani.
 
Afrika ndio bara pekee lenye ardhi nzuri ya kilimo
 
Tunasubiri kwa hamu kama atalonga kuhusu mauaji ya kinyama ya Daud Mwangosi ambayo yameshamnukisha kimataifa.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni muhimu sana kushirisha sekta binafsi katika uwekezaji na uendelezaji wa kilimo endelevu
 
Afrika ndio bara pekee lenye ardhi nzuri ya kilimo

Anatuhadaa huyu kana kwamba sisi ni wa mwaka 1970 ambao hawakuijua dunia? Kwanza huko Marekani anaoenda mara nyingi ameona nchi nzuri inavyopendeza kwa natural vegetation ukilinganisha na Tanzania? Yes Tanzania tuna rasilimali nyingi hasa madini, maziwa, lakini hili la ardhi nzuri asitudanganye, tumeiona dunia bana.
 
Miradi mikubwa saba imeanzishwa nyanda za juu kusini kwa ajili ya kusaidia afya ya udongo na kuboresha hali ya masoko
 
aongelee pia kusuhu mwangose....asisahau mpango wao wa kuwatoa kwa nguvu machinga soko la kilombero wiki hii coz walikuwa wanasubiri mkutano uishe...
 
endelea kutujuza hivohivo ingawa siyo mida mibaya kuvhafua ubongo na hizi habari zake...
 
Shirika la biligates na mkewe linaendesha program kubwa sana ya kuongeza ujuzi wa teknolojia ya uzalishaji wa mbegu bora
 
Sasa kama kachukua hii inchi kilo ya mchele ikiwa 500 hivi sasa ni 2500, sukari kilo 1 ilikuwa inauzwa 300 hivi sasa ni 2600, kilo ya maharage ilikuwa inauzwa 250 hivi sasa ni 2500. Mapinduzi ya kilimo anayo yaongelea ni yapi kama sio siasa zisizo na mashiko? The end is near CCM will be going to hell.
 
Miaka 20 ya vyama vingi imekuwa ya maendeleo sana

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Back
Top Bottom