Japokuwa nami siiamini kuwa ni hotuba yake, JK NI KIGEU GEU ACHA, kama huamini muulize PINDA
Comrade kaganyi we ni mkaaaaaaaaaaaaaaaaaaali salut kwako uliitoa wapi hii namsikiliza hapa huku nasoma uzi wako daaaa yaani nimestaajab sana salut kwako Kaganyi for the first time nakiri sikufanya kosa kujoin JAmii Forums
wenyewe muamsho wamekana kuchoma moto makanisa, just ni njia ya kuwadhoofisha katika harakati zao za kudai zanzibar huru!
SOLUTION NI KURA YA MAONI KWANZA then mchakato wa katiba baadae.