Hotuba ya Rais JK Mwisho wa Mwezi 31/12/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Rais JK Mwisho wa Mwezi 31/12/2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Dec 29, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Term iliyopita Rais alikuwa na utaratibu wa kulihutubia taifa kila mwisho wa mwezi. Sina hakika kama bado Rais ataendelea na utaratibu wake wa awali kwa kipindi hiki cha miaka mitano anachomalizia.
  Na kama Rais ataendelea na utaratibu wake wa awali basi mimi nasubiri kwa hamu kusikia jinsi atakavyozungumzia yafuatayo:-

  1. Madai ya katiba mpya yaliyoibuliwa baada ya kumalizika kwa uchaguzi
  2. Vurugu zilizotawala katika chaguzi za mameya sehemu mbalimbali nchini
  3. Hukumu ya kesi ya Dowans dhidi ya Tanesco na kauli mbalimbali za viongozi wa serikali yake.
  4. Hukumu ya Kesi ya Radar iliyotolewa hivi karibuni nchini uingereza ikihusisha kampuni ya BAE systems
  5. Majukumu na nguvu ya polisi Vs Vyama Vingi nchini, hususani katika ukuaji wa demokrasia.
  6. Mfumuko wa bei unaoendelea nchini Vs dhana yake ya maisha bora kwa kila mtanzania
  Nasubiri kwa hamu nisikie hotuba yake kama itakuwepo mwishoni mwa mwezi huuu!
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Mimi nitataka aseme ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi zina dhamani ya Tshs. ngapi..........
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  aah let the bygones be bygones! ilikuwa style ya kupatia kura
   
 4. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu umeelezea mambo ambayo kweli kila mtu angepeda kusikia mkuu huyu wa nchi akiyatolea ufafanuzi, lakini ni kawaida yake kutojadili mambo ambayo yanaumiza vichwa vya watu kwa wakati ambao anatoa hotub zake.

  Nafikiri tusibiri kusikia mikakati aliyonayo katika kutafuta wahisani waje kutusaidia mizigo yetu.
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Ningependa aongelee atafanyaje na Mkuu wa Takukuru baada ya siri ya weakleaks kuvuja
   
 6. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mhh sidhani na simshauri kuongelea hilo sababu linaonesha lina ukweli ndani yake!
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Kimsingi hatakiwi kumuadhibu Hosea............... Ahangaike na akina Mkapa, EL, RA etc........full stop
   
 8. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kwa sababu wananchi sasa wameshajua msimamo wake dhidi ya wala rushwa! kwa hiyo chochote atakachosema ku-pretend kwamba yeye yupo smart kwenye kufuatilia rushwa itakuwa bure tu kudanganya wasikilizaji wa hotuba yake!
   
 9. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hayo ni msingi kwa muda huu lakini JK ana ubavu wa kuyazungumza?
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kesho ni kesho(31.12.2010) msema kweli ni mwongo Jk kutoa HOTUBa ya funga mwaka
  hutoba inaweza kuokoa na kurudisha imani za watanzania.

  1. Jk atakuja na majibu ya dowanss kuwa serikali haitalipa hiyo hela
  2. kuanzisha mchakato a katiba mpya tume kuchagulia
  3.
  4.
  5.


  wanaJF ongezea kesho(31.12.2010) JK kuibuka shujaa na mwokozi:target::target:
   
 11. D

  Deo JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mchezo mwingine wa kuigiza.
  Mtaniambia akimaliza hotuba hapa JF
  Asanteni
   
 12. C

  Campana JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama atazungumza, sansana atajishekeshachekesha na kuongelea safari zake za Malawi (na kuzindua kaburi la Marehemu First Lady), na kwingineko
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Atutajie mmilikiwa Dowans ni nani kama ni Rost Aziz au vp. Manake hii mihela mingi sana ati kupotea hivi hivi kwa mafisadi.
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Asije akasahau kuwa watanzania wa leo si wale wa enzi za mwaka 47 . Time will tell
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Thubutu yake.......!!!
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu unaishi nchi gani kesho ni tarehe ngapi...... 30.12.2010..... hata nepal au Australia bado hawajafikia hiyo time...... please
   
 17. p

  pierre JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Campana umenifanya nichangie maana comment yako kuwa mkuu wetu wa nchi atajichekeshachekesha imeniacha hoi.Hivi ni kwa nini tuko hivi??Ina maana badala ya mkuu wa kaya kuzungumzia matatizo yetu azungumzie kuhusu kuzindua kaburi la FL wa malawi??Is it serious?Campana niambie kama ndivyo alivyo niondoe hata kale kaimani kadogo kalikobakia.
  Rich Dad na wewe unasema tuache tu eti ilikuwa style ya kuombea kura??Is it??Hata katiba ilikuwa style ya kuchakachua???Halafu we rich unasema tuache tu tusiulize??
   
 18. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata akitaja haitasaidia...........unategemea nini kutoka kwa JK ikiwa mwanasheria mkuu kashasema kesi ifungwe na wao hawana mpango wa kukata rufaa...........nothing to expect...........ni upupu tu na blah!bla! za uchaguzi ulikuwa wazi,huru na haki na tutapambana na udini, tuendelee kuombea mvua na upupu tu kama huo.............kama alishindwa kutoa visionary speech siku ya kufungua bunge unategemea kesho????.....ni maumivu tu tufunge mkanda...
   
 19. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Ushahidi mwingine kuwa JK na wapambe wake ni watu wa hovyo kabisa wanakurupuka tu
   
 20. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...