utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Hata bibi yangu kijijini alisha achana na hotuba za kubembembeleza! ana mkumbuka Mkapa
Term iliyopita Rais alikuwa na utaratibu wa kulihutubia taifa kila mwisho wa mwezi. Sina hakika kama bado Rais ataendelea na utaratibu wake wa awali kwa kipindi hiki cha miaka mitano anachomalizia.
Na kama Rais ataendelea na utaratibu wake wa awali basi mimi nasubiri kwa hamu kusikia jinsi atakavyozungumzia yafuatayo:-
Nasubiri kwa hamu nisikie hotuba yake kama itakuwepo mwishoni mwa mwezi huuu!
- Madai ya katiba mpya yaliyoibuliwa baada ya kumalizika kwa uchaguzi
- Vurugu zilizotawala katika chaguzi za mameya sehemu mbalimbali nchini
- Hukumu ya kesi ya Dowans dhidi ya Tanesco na kauli mbalimbali za viongozi wa serikali yake.
- Hukumu ya Kesi ya Radar iliyotolewa hivi karibuni nchini uingereza ikihusisha kampuni ya BAE systems
- Majukumu na nguvu ya polisi Vs Vyama Vingi nchini, hususani katika ukuaji wa demokrasia.
- Mfumuko wa bei unaoendelea nchini Vs dhana yake ya maisha bora kwa kila mtanzania
mkuu unaishi nchi gani kesho ni tarehe ngapi...... 30.12.2010..... hata nepal au Australia bado hawajafikia hiyo time...... please
Kesho ni kesho(31.12.2010) msema kweli ni mwongo Jk kutoa HOTUBa ya funga mwaka
hutoba inaweza kuokoa na kurudisha imani za watanzania.
1. Jk atakuja na majibu ya dowanss kuwa serikali haitalipa hiyo hela
2. kuanzisha mchakato a katiba mpya tume kuchagulia
3.
4.
5.
wanaJF ongezea kesho(31.12.2010) JK kuibuka shujaa na mwokozi:target::target:
Atutajie mmilikiwa Dowans ni nani kama ni Rost Aziz au vp. Manake hii mihela mingi sana ati kupotea hivi hivi kwa mafisadi.
Wameisha jipanga wanaweza kuplant kampuni yoyote ya nje!!Atutajie mmilikiwa Dowans ni nani kama ni Rost Aziz au vp. Manake hii mihela mingi sana ati kupotea hivi hivi kwa mafisadi.