Hotuba ya Rais-Hapa nani atasababisha vurugu na kumwaga damu?

manunuzi

Member
Sep 5, 2008
22
4
Siyo sawa hata kidogo kuchochea ghasia ati kwa nia ya kuiondoa Serikali madarakani. Ni kinyume cha Katiba na ni kuiingiza nchi katika mgogoro usiokuwa wa lazima. Tutasababisha umwagaji wa damu, watu kupoteza maisha na mali zao kuharibiwa bila sababu yoyote ya msingi,” alisema Kikwete katika sehemu ya hotuba yake hiyo.
je ni nani anayetangaza kuleta migogoro na umwagaji wa damu katika hotuba hii?:A S 13:
 
Back
Top Bottom