Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,373
- 68,470
Huyu Mama nadhani Kanali Komandoo Augustino Polepole atamalizana nae.Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.
Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.
Nimeumia…
Kwa kiapo chake alichokipata alikitafuta.Kuna uzi humu unasema mtekaji hawezi kukulisha zaidi ya siku saba.
Aseme nn kima tu yuleKwan kaka yake ameishia wap
Ni kweli. Nadhani maiti yake ima iko msonga kama siyo kizimikazi au hata baharini ikiliwa na fish.Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.
Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.
Nimeumia…
Kaka yake maneno matupu.Anaonekana ni bange tu.Kwan kaka yake ameishia wap
Yule walimuua siku ile ile.Kabisa kuna watu mlikuwa bado na matumaini eti Polepole bado yupo hai?
Yule alikaa sana basi ni siku tatu tu.
Polepole ana faida akiwa ardhini kuliko juu yakeHotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.
Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.
Nimeumia…
Hata mdude na soka nahisi wameshauliwaHotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.
Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.
Nimeumia…