realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Hotuba ya mh. Raisi mstaaf Jakaya Kikwete, inanipa kuamini kuwa haamini na hategemei kuona mafanikio ya mabadiliko ya 16 ya katiba ya CCM.
Hii imetokana na baadhi ya mambo aliyo yataja kama changamoto katika chama hicho.
Ametaja baadhi ya mambo kama idadi ndogo ya wanachama katika kuchangia kodi ya uananchama, na na kuonyesha kukerwa na panga la baadhi ya wajumbe.
Tukumbuke,Mh.Mikwete amekalia kiti kwa miaka 10, anazijua vyema changamoto, si wa kumbeza.
Hayo ni maoni na fikra zangu tuu.