Hotuba ya John Pombe Magufuli

Ndo maana tunasema ccm imechoka!!mtu anatimiza wajibu wake,wengine wanampongeza utadhani kafanya something extraordinary!anapoanza kuwapeleka makandarasi majukwaani si ndo kuleta siasa kwenye mambo ya utalaamu?na kejeli za kwamba waliokuwa wanagombea ubunge wakaombe kazi huko si dharau hiyo?by the way
 
Nakumbuka wakati The Gamba alipojiuzulu, kuna watu fulani waionekana kwenye vyombo vya habari wakilia machozi (tena watu wazima kabisa) wakionyesha masikitiko yao kuwa huyu bwana amejiuzulu wakati wao wangali wakimpenda. Mimi ambaye nipo mbali na Igunga nilidhani huyu bwana alikuwa amewaletea maendeleo sana, kilichonistaajabisha ni kwamba kumbe bado kuna matatizo mengi yanayowakabili wanaigunga. Na kikubwa zaidi daraja ambalo halijajengwa tangu uhuru, leo hii linaweza kujengwa hata bila yeye kuwapo. Hawa jamaa wa Igunga some times nashindwa kuwaamini.
 

Umenigusa mkuu na nimekusoma kwa herufi kubwa sana .Sisemi lolote nangojea ujenzi uaanze .
 
hovyo sana ,Magufuli uwe makini maana tayari upo mtegoni naona kana kwamba wewe ndo mbunge wa Igunga
 

Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.
 

Kadeki barabara ndo uwezo wako,
 
Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.

Kanjinyee kama lowasa lowasa kana kiarusi hakijamtoa kafara na nyeti zake,alikuwa anatembea na meri nagu,acha zako, lowasa yeye make wake nani anampa mambo maana imeoza akili adi chini ya nyeti zake,
 
Hili litopic la 2011 la kazi gani sasa hapa.
 

Jukwaa hawawezi kudeki barabara NFO ukawa wa kisomi waliobaki nao,
 
Unadeki bara bara halafu geto lako chafu
 
Kanjinyee kama lowasa lowasa kana kiarusi hakijamtoa kafara na nyeti zake,alikuwa anatembea na meri nagu,acha zako, lowasa yeye make wake nani anampa mambo maana imeoza akili adi chini ya nyeti zake,

Hivi TCRA na jeshi la Porisi mko wapi...! MBONA WATU KAMA HAWA WANATAKA KUVURUGA AMANI YETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…