Hotuba ya jk ya kuuwaga mwaka2010 na mauaji arusha

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60

Mipango ya kuuliwa Watanzania wafuasi wa Chadema ilikuwa nimipango malumu ya Serekali ya Kikwete kupitia ilani ya chama chake wasema Chadema.
Viongozi wa ngazi za juu za chadema wamenukuliwa wakisema mipango ya mauwaji ilikuwa tayari imepangwa kuuwa nguvu ya upinzani Chadema na wanashuku hutuba ya Rais Jakaya Kikwete aliposema hadharani ktk kuwaga mwaka wa 2010 kuwa kuna vyama vinataka kutumia maandamano na migoma isiokwicha ili Tanzania ionekane nchi katili lakini hatuto fumbia macho na kuruhusu hivyo.
 
wee kweli mzambia! halafu ni mzambia kihiyo! jifunze kwanza lugha ndio uanzishe mijadala mikubwa kama hiyo
 
wee kweli mzambia! halafu ni mzambia kihiyo! jifunze kwanza lugha ndio uanzishe mijadala mikubwa kama hiyo
Crap!..
.
.
Huo ndio ukweli kwa taarifa yako...Huoni JK yuko kimya kwenye janga kubwa kama hilo?..Waliouwawa si sehemu ya wananchi wake?
Anaona aibu hata kutamka neno...
 
unalipwa galagabaho kwa spin, ipo siku itakufa a damu ya wau wasio na hatia iliyomwagika kana umehusika itakulilia wewe na vizazi vyote
 
Mipango ya kuuliwa Watanzania wafuasi wa Chadema ilikuwa nimipango malumu ya Serekali ya Kikwete kupitia ilani ya chama chake wasema Chadema.
Viongozi wa ngazi za juu za chadema wamenukuliwa wakisema mipango ya mauwaji ilikuwa tayari imepangwa kuuwa nguvu ya upinzani Chadema na wanashuku hutuba ya Rais Jakaya Kikwete aliposema hadharani ktk kuwaga mwaka wa 2010 kuwa kuna vyama vinataka kutumia maandamano na migoma isiokwicha ili Tanzania ionekane nchi katili lakini hatuto fumbia macho na kuruhusu hivyo.

Police wa tanzania wamejiandaa KUUwa watu

Siku moja umma utasema
 
Kikwete asifikiri damu ya watanzania itamwagika bure..........iko siku itamgarimu, hii nchi si yake ni ya watanzania wote. Anatumia hela za watanzania kununua risasi za kuwauwa. Kiongozi gani anaua raia wake kwa ajili ya madaraka.......huna aibu! IGP, RPC, OCD - Arusha wote hawa ni wauaji watapata hukumu yao kwani wameua watu wasiyokuwa na hatia! Mkae mkijua hakuna kisicho na mwisho hata hicho kiti mlichokalia kina mwisho tena mwisho mbaya!!!! Tunawalaani wote waliyopanga na kuhusika na mauji ya ndugu zetu. Mungu tuna amini kusudi lako kwa nchi yetu litatimia. AMINA.
 
Back
Top Bottom