Mimi nadhani kuna makundi hapa, la kwanza limemgeuza j.k kama mwigizaji, ndio maana wanaulizia kwa hamu sana hayo maigizo yake, kundi lingine la mambumbu wasiojua ulimwengu uko wapi lakini nao wanahaki ya kusubiria. Kundi lingine ni la watu makini sana na hawahitaji hata hayo maigizo yake.