Nenda mkamuage dada mliyemuuwa anaagwa sasa hivi kkkt wazo mamtu mnaroho mbaya kama nini kazi kuuwa wenzenu tu ngoja muwamalize sijui mtamuongoza nani.Kama Mwenyekiti wako anavyovurugwa muda huu mpaka anatucheleweshea hotuba....!
Jamani nimesema tangu mwanzo kuwa jk kasaini mswada mbona hamuelewi,kasaini jana kabla ya kwenda pwani.Sasa Ma CCM yanategeana...
Looks like JK yuko dillema kwenye mswada uliopoitishwa kinazi na wabunge wake.
Now tayari anajua nini msimamo wa Warioba na at the sametime kuna Mijitu ndani ya CCM inamshinikiza kuusaini Muswada.
Hii inaitwa Personal Conflict...
Lets see.
Nenda mkamuage dada mliyemuuwa anaagwa sasa hivi kkkt wazo mamtu mnaroho mbaya kama nini kazi kuuwa wenzenu tu ngoja muwamalize sijui mtamuongoza nani.
......Mh!!!Wewe bavicha umevurugwa sana si bure.
Sijaona kero yoyote ambayo inahitaji msimamo wa rais au hizi kelele za wanasiasa wahuni wewe ndiyo unaziona kero?.Kwa hiyo yeye kama rais wa nchi na mwenyekiti wa chama kilichopo madarakani hawezi kuwaambia wananchi msimamo wake na kujibu kero zilizojitokeza?
Kama ni hivyo, kuna haja gani ya kuwa na raisi anayefuta upepo?
Bawacha sounds.......Mh!!!
....siku hizi kufura fura tuuuu....
...ntakuletea ukwaju na malimao!!!!
Bavicha hajifichi utamjua tu.Siku moja moja jitahidi kutumia kichwa kufikiri basi ingawa najua ni task kubwa sana kwako..
utakuwa umerogwa wewe. si bure hata kidogo
.......ha ha ha..Jamani nimesema tangu mwanzo kuwa jk kasaini mswada mbona hamuelewi,kasaini jana kabla ya kwenda pwani.
hivi unafikiri JK kuongea kwake ni tabu? subiri tu uone atakavyoporomoka na hoja za msingi
Nenda mkamuage dada mliyemuuwa anaagwa sasa hivi kkkt wazo mamtu mnaroho mbaya kama nini kazi kuuwa,ku wenzenu tu ngoja muwamalize sijui mtamuongoza nani.
Kiukweli hebu tuambie hyo hotuba iko wapi? Rais wetu kipenzi kwa watanzania yuko wapi? Hyo hotuba imepotelea wapi au unataka waseme ameisahau marekani.
Sijaona kero yoyote ambayo inahitaji msimamo wa rais au hizi kelele za wanasiasa wahuni wewe ndiyo unaziona kero?.
halafu naona umevurugwa soma mstari wako wa mwisho sijakuelewa ....Anayefuta upepo ndiyo nini kwani upepo unafutwa bavicha shida kweli hata kuandika shida.
Kumbuka leo alikuwa pwani kwenye kazi za kiserikali pengine kachelewa kurudi au kachoka ni budi apumzike.
.....kwi kwi kwiVp nikikipatia na udongo kidogo
....Ha ha ha ha ha ha ha mkuu acha kutuvunja mbavu!!!!