Hizo page mbili tatu zinamtoa jasho. Je rasimu ya katiba si itakuwa kasheshe. Ata sign bila kusoma halafu utawasikia wapambe wake wanasema ameshauriwa vibaya. Wanasahau ni yeye huyu huyu aliyesema za mbayuwayu changanya na zako

Jk hawezi kuongelea swala la rasimu siyo jukumu lake bali ni la tume swala la mswada ni swala la bungeni nalo siyo lake yeye amesaini mswada tangu jana nyie mnapiga porojo.