Hotuba ya hekima aliyoitoa Mbowe kwenye sherehe za Eid

Hotuba ya hekima aliyoitoa Mbowe kwenye sherehe za Eid

Bora Mbowe asingeenda tu!
ukiangalia maudhui ya hotuba yake ni kampeni tu! hakuna sehemu anawatakia waislam Heri ya sikukuu ya eid, hazungumzii mshikamano baina ya waumini na kuwatakia heri watanzania wote ktk sikukuu!
pia waislam zaidi ya 700 wamekufa ktk sikukuu hii ya eid huko makka na yeye haongelei lolote ktk hilo!
wakati watu wakisheherekea wewe unaleta fitina za watu kuuziwa mafuta au tume imebadilishwa mbona ni very irrelevant?
huyo ndiye kiongozi wa juu kabisa ktk chama!
no wonder wafuasi wake huku wamejaa matusi tu, vichwa maji!

nenda kasome tena bandiko utakutana na maneno yasemayo "nmekunukulia baadhi ya ......."
punguza midadi.
 
Maneno ya busara sana haya mkuu Boko haram. Yaani tumefikia huku? Baraza la Eid kuwa Mkutano wa Kampeni ya siasa? Aseee, hawa masheikh wetu wakati mwingine mtihani.
Allah awajaze hekma ili tusiwe tabaka la kutumiwa na wanasiasa.

fikiriya ndungu naona sio muislam halisi ni bakwata puppet au
 
Last edited by a moderator:
Mbowe, acha usanii bana ulikuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni hata siku moja hujawai kutoa kauli yeyote kuhusu hawa masheikh waliopo ndani, sasa hivi mnataka kura za Waislam mnajifanya mna mahaba na Waislam.

Mkuu upo? Habari za kule? Naamini umemcharaza shwaitani mawe ya kutosha kabisa japo nasikia naye amefanikiwa kunyofoa kama 700 hivi. Safari ya kutisha sana hii.
 
kama habari zingekuwa zinawafikia watanzania wote vijijini na mijini namaanisha kwa magazeti,mitandao ya kijamii ,radio na televisheni mageuzi yangeshafanyika tangu zamani za mrema 1995 tofauti na hapo bado walio wengi nchini hawapati habari za kila siku.
misri,tunisia,bahrain kilicholeta mageuzi ni usambazaji wa habari
 
Back
Top Bottom