ngilenengo1
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,275
- 605
Hili la kuambia watu kuwa walibebwa na malori limewaudhi watu wengi sana, hata mimi pia . Yaani ingekuwa yeye ingekuwa ni sawa watu wamekuja wenyewe kwasababu wanampenda, lakini kwasababu ni lowassa watu wamebebwa na malori.. Hivi kweli mzee inafikia mahali anaongea uongo ili kumfurahisha anae mlipa!!
Doctor watz saivi hatuhitaji kusikia chochote mbali na neno MABADILIKO, ulitokea ccm ukawafanyia mazuri watz kupitia chadema, hata EL tuna imani atafanya hivo hivo!Too late to catch the moving train!
lowasa kuingia ikulu sahau. tulikuwa tukikuambia kistaarabu naona sasa unajenga kiburi na kuvuka mipaka. mpuuzi kama wewe unaeishi kwa kumtegemea lowasa huwezi kufikiria nje ya box, huwezi kujiuliza haya mahela yote aliyokuwa akiyagawa lowasa aliyatoa wapi na yatarudije? huwezi hata kujiuliza hili genge lote lililonyuma yake linania gani. unaakili za kuendea chooni mpumbavu wewe.
Dr. Slaa hanunuliki. Kwahiyo usijaribu kuniaminisha huo upuuzi wako!
Ungemsikiliza Dr Slaa tangu anaanza kuhutumia, hi quotation ungefuta. Usijibu hoja kwa story za vijiweni, mbona Dr Slaa aliweka wazi Suala Hilo? Kwani wewe ni Mjinga?
katka naelezo ya Dr Slaa anesema aliletewa rushwa ya shilling million 500 mlangoni chaajabu aneshindwa kumtaja alie mletea hizo hela!!!...
Pia najiuliza kama kweli Dr Slaa anachukia rushwa kama anavyo jipambanuwa kwanini Hakuripoti katika mamlaka hulika kama polis au TAKUKURU????
Kwann amekaa kimia toka 2008????
kama ana ushaidi kwa anayo yasema kwanini asiripoti kwa mamlaka zinazo husika ili watuhumiwa wachukuliwe hatuwa?..
Dr Slaa unatufundisha nini hapa?!!!
Binafsi namshangaa huyu babu, mbona yeye alipoachishwa UPADRE KANISA KATOLIKI, JE ALITUBU DHAMBI ALIYOIFANYA HADI KUFIKIA HATUA YA KUMUACHISHA UPADRE.
Mimi ni Mkatoliki naelewa kuwa kosa kubwa kwa mapadre kuachishwa / kufukuzwa ni kufumaniwa au kuwa na mwanamke kwani mapadre hawaruhusuwi kuoa. Hivyo Dr. Slaa huenda alikumbana na hii tatizo ndio maana Baraza la Maaskofu wakamuachisha.
Je alitubu hiyo dhambi au leo anaona dhambi ya lowasa na Sumaye suala la ufisadi ndio dhambi kubwa sana.
"Usihukumu usije ukahukumiwa"
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
katka naelezo ya Dr Slaa anesema aliletewa rushwa ya shilling million 500 mlangoni chaajabu aneshindwa kumtaja alie mletea hizo hela!!!...
Pia najiuliza kama kweli Dr Slaa anachukia rushwa kama anavyo jipambanuwa kwanini Hakuripoti katika mamlaka hulika kama polis au TAKUKURU????
Kwann amekaa kimia toka 2008????
kama ana ushaidi kwa anayo yasema kwanini asiripoti kwa mamlaka zinazo husika ili watuhumiwa wachukuliwe hatuwa?..
Dr Slaa unatufundisha nini hapa?!!!
Hivi huyu Babu anajua Damage aliyoifanya kwa UKAWA? Amewapa CCM karata ya turufu ili UJANGILI USHAMIRI? UFISADI uongezeke? Mikataba mibovu iongezeke zaidi? ...
TATIZO URAIS...SLAA NAYE AMENUNULIKA...Teh Teh Teh mwanaume unapata wapi ujasiri wa kusema umejengewa nyumba na mwanaume mwenzio na unaishi na mchumba wako humo ndani? Aibu hii kwa slaa.