Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,462
- 29,163
Toa jibu kwenye swali,why does it really have to matter? ujumbe ndo huo
Sio swali kwenye swali.
Toa jibu kwenye swali,why does it really have to matter? ujumbe ndo huo
Mkuu, Mwalimu ni Mwalimu tu, Hana Jina lingine, yeye ni Mwalimu na nimkufunzi na Kwa bahati mbaya kwamba, Mwalimu hafundishi Hadi akaishiwa, na huwezi kuwa mwelevu kuliko Mwalimu wakoPia wanafunzi wanaweza wasimuulize kwa sababu zifuatazo
Mwalimu apendi kuulizwa maswali
Mwalimu amefundisha uongo
Wanafunzi wanaelewa kuliko mwalimu
Wanafunzi wanajua ata wakiuliza bado mwalimu atawadanganya.
Wamekosa cha kukosoa maana wapinzano wa bongo katika medani za kiusalama waitwa Diarrhoea Tangue hawawezi kukaa na jambo kifuani ni kulopoka usiku na mchana
hawajui kitu kuhusu bajeti wanachoweza kujadili ni mbowe akilewa akiteleza na kuvunjika mguu huo ndio upeo wao
Bajeti unatakiwa kuwa na kichwa kuijadili
Bajeti ambayo ni always shitty one,haina maana kama upumbavu mliopitisha wa kumpa kinga mawe,waziri mkuu,spika,nk..Nimejaribu kupita mitandaoni, hasa Twitter kujaribu kuona reaction ya wadau hasa wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wasomi mbalimbali juu ya Bajeti ya Serikali iliyosomwa jana ila cha ajabu wanajadili au kuongelea maswala mengine tofauti huku Bajeti ya nchi wakiipa kisogo kama vile haipo, wakati kwa kawaida Bajeti inaposomwa tu watu mara moja huanza uchambuzi na mijadala jambo ambalo tangu jana mpaka asubuhi ya leo silioni mitandaoni zaidi ya hapa JF ingawa na penyewe mjadala wake umekosa mashiko kabisa.
Binafsi naona hii ni dalili ya watu kukatishwa tamaa na mwenendo wa Bajeti hizi za serikali kiasi kwamba wanaona mambo ni yale yale hivyo wanaona bora tu. waendelee na agenda zingine.
Anyway, ngoja tuone labda kuanzia leo watu wataanza kujijadili hiyo Bajeti.
Tusubiri hii ya leo ya upinzani labda inaweza kuipiga jeki bajeti ya serikali kwa kuiongezea hamasa japo kidogo.
View attachment 1476053
Link ya Bajeti ya Upinzani:
https://t.co/sXQPPxbbD1?amp=1
Kwakweli watu wamekaa tamaa.Bajeti inasomwa utadhani ni Bajeti zingine za kawaida watu hawana habari kabisa.Bajeti ambayo ni always shitty one,haina maana kama upumbavu mliopitisha wa kumpa kinga mawe,waziri mkuu,spika,nk..
Hiyo ni crime against humanity!
Bajeti ni very very stupid in this government,ambayo infact haikaguliwi,na CAG akishajenga upumbavu wake bado haijadiliwi Bungeni,then this is nonsense!
Yaani bajeti ijadiliwe halafu matumizi yakishafanyika isijadiliwe kwa lazima,this is crime!
Na pia,bajeti yenu haijadiliwi mjiulize sana,wananchi washakata tamaa,mjadili msijadili wananchi hawana hamu kabisa!
I remember bajeti day ikifika nchi nzima inasimama,ila this regime,bajeti watu walishajikatia tamaa kitambo,nobody cares!
Mwalimu wangu amemaliza kidato cha nne...mimi nimemaliza Shahada sasa nae anataka nimfundishe aende chuo ...sasa nifanye je maana huyu ni mwalimu wangu naona itaonekana najua kuliko yeye sasaMkuu, Mwalimu ni Mwalimu tu, Hana Jina lingine, yeye ni Mwalimu na nimkufunzi na Kwa bahati mbaya kwamba, Mwalimu hafundishi Hadi akaishiwa, na huwezi kuwa mwelevu kuliko Mwalimu wako
Kuna uzuri lakini..kusajiri namba mpya za magari T 777 DDD laki 5Bajeti hii ni changa la macho. Tulitegemea bajeti hii ije na mpango wa kukamilisha mpango wa pili wa miaka mitano, badala yake imekuja na vioja vya kununua ndege zingine ambazo haziko katika mpango.
Kwa kifupi bajeti hii ni usanii na mpango wa pili wa maendeleo umeshindikana kabisa kutekelezwa !
Hakuwa na namna aliishiwa hoja.Hivi Supika aliruhusuje bajeti hii kusomwa?
Toa jibu kwenye swali,
Sio swali kwenye swali.