Hotuba lake lote kakumbatia Utekaji na Mauaji yalofanyika kabla ya Oktoba 29!! Watanzania wa sasa sio wajinga!!

Hotuba lake lote kakumbatia Utekaji na Mauaji yalofanyika kabla ya Oktoba 29!! Watanzania wa sasa sio wajinga!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Yaan Matukio ya Utekaji na Mauaji yametokea mengi kabla ya Oktoba 29.

Ujifanye kuja kutoa pole za walouliwa Oktoba 29?.

Mh Polepole umemteka .

Mzee Kibao alouliwa, ukajifanya Tume ya Uchunguzi... Unadhan unaongea na watoto wako???.

Siku Zenu zimekwisha kufika, Huu Moto hauzimiki mpaka pale HAKI ITAKAPOWAWAJIBISHA.
 
Back
Top Bottom