Hivi anamtambulishaje MSHUMBUZI huko? isije ikawa wazungu wanauziwa mbuzi kwenye gunia kuwa ni mke wake.
kwanza lini slaa akatoa hotuba kali vitu vingine vya uongo wa wazi kabisa make hotuba za slaa ni full matusi na malalamiko tu ambayo hata ukimwambia apendekeze suruhu hawezi.
As yeye anavyofuja ruzuku ndogo ya chama, kwenda kuhiji israel na hawaramost foreign aid in africa end up in the pockets of corrupt rulers - DR SLAA .
hivi , inakuaje hotuba anatoa marekani, kuripoti mnaripoti JF, huko hakuna media?
Mleta mada ni yule mhuni aliyefukuzwa DIT
Km ilivyo ww mb..urla lakini jukwaa linakustirihivi bado jf kuna mbumbumbu wa aina hii !
Km mtoa hoja ni mwehu nadhani hoja itakuwajehoja yake nayo ilifukuzwa DIT ?
Mleta mada ni yule mhuni aliyefukuzwa DIT
Hivi wake za watu wamenusurika kweli kulemost foreign aid in africa end up in the pockets of corrupt rulers - DR SLAA .
nategemea kusikia viongozi wa chadema wakiungana na katibu mkuu wao kuweka mikakati ya kutekeleza hicho kipaumbele. Tatizo kubwa ninaloliona ni hizo elimu za viongozi wao. Mwenyekiti kasoma kimagumashi na hata elimu yake haieleweki. Kama ni kidato cha nne au darasa la saba. Katibu mkuu kasomea theology. Viongozi wengine hata taaluma zao hazieleweki. Kidogo naibu katibu mkuu, zitto kabwe anaweza kulitetea hilo
haya yote ni maigizo ya pwagu na pwaguzi, nyuzi zote juu ya babu yetu au kijana wa zamani ni propaganda za humu ndani kufurahisha kijiwe. mleta mada kakaa pembeni na chupa yake ya chimpumu katulia. Dr Slaa hana jipya, ata Lipumba mzee wa single anamzidi kisiasa. chadema kwishineeeMKUU, Dr Slaa hatofautiani na mtu anayeagiza CHIPS DUME halafu akalazimisha ichanganyiwe na mayai
yule sio mke ndomaana ata babu hataki ndoa.Ninalaani vikali sana tabia ya kupora wake za watu
hivi wake za watu wamenusurika kweli kule
umesahau wengine Mnyika form VI, Sugu darasa la 3C, Wenje 4B, Msigwa form IV failule, na wengine wengi, kwa mshangao na haoni mawaziri VivuriNategemea kusikia viongozi wa CHADEMA wakiungana na Katibu Mkuu wao kuweka mikakati ya kutekeleza hicho kipaumbele. Tatizo kubwa ninaloliona ni hizo elimu za viongozi wao. Mwenyekiti kasoma kimagumashi na hata elimu yake haieleweki. kama ni kidato cha nne au darasa la saba. Katibu Mkuu kasomea Theology. viongozi wengine hata taaluma zao hazieleweki. Kidogo Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe anaweza kulitetea hilo