Hottie:Abby Plaatjes!

Hottie:Abby Plaatjes!

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
-A Single Mom Of Two Kids.
-The Former BBA Contestant
-The CEO/Models Manager Of Black Ice PR..
-Choice Fm Presenter/The Big Easy Co-Host.......Mzurije?
 
Attachments

  • Abby1.png
    Abby1.png
    114.6 KB · Views: 402
Wait Is Abby Single. kaachana na yule baharia wake mtz maana najua alikuja kuishi bongo sababu ya mumewe ndo akatafuta na kazi Choice fm
 
Yes....waliachana,still kaamua kukomaa na jiji letu.
 
Huyo bwana ni msomali mwenye uraia wa Italy na si mtanzania na sijui mpaka sasa kamabado anamiliki ile hotel ya Mediterranio.Jamani Tz ni pazuri ukiwa mjanja na unatumia fursa vizuri unaishi kwa raha sawa na walio majuu.Inabidi sasa huyu dada aolewe tu na mswahili,tatizo ni lifestyle aliyojipangia ni ile ya milioni si pesa,huenda aolewe na watu wa sampuli ya akina ''baba wawili''
 
Ok kumbe ndo alikuwa mmiliki wa pale mediterano
 
Back
Top Bottom