Pole sana. Hiyo kuna watu wamedukua japo password unayo wewe tu. Badilisha password haraka sana. Mimi ilinitokea aisee ilikuwa balaa kwani walianza kutuma meseji za ajabu ajabu kwa watu waliokuwa kwenye contact zangu. Usiiangalie tu meseji zilizofutwa kagua pia na outbox yako.