kilolambwani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 395
- 75
Hivi ile nayo ni hotel eeh! Mi nilikuwa najua ni hostel au nyumba ya wageni
Hotel hiyo inaonekana usalama si wa kuaminika. Iweje dirisha livunjwe na vitu kuchukuliwa halafu anakuja kugundua mwenyewe mteja badala ya walinzi. Ina maana hawafanyi patrol usiku hao walinzi??????????
Kitu ya Mamvi ile mkuu!!
Kahaba alikwiba kisha ndn akavunja dirisha ili kuzuga. We unadhani kwa nini mwivi hakuvunja dirisha la chumba kingine?
wenye hotel wangeelza ukweli ingeliwasaidia sana otherwise imekula kwao.Picha za ndani na madirisha zinaonyesha hoteli yenyewe bado ya kishamba sana.
Kama ni kweli kikundi cha majambazi/wezi kiliweza kuingia kwenye hoteli yenye hadhi kubwa kama Nashera na kuweza kumuibia Naibu Waziri maswali mengi yameachwa juu ya hoteli hiyo. Maelezo yote ambayo yametolewa hadi hivi sasa yanaionesha hoteli kwenye mwanga mbaya zaidi kuliko hata Malima. Think about it. Nadhani Hoteli itabidi ijisafishe tu kwa kueleza vya ukweli kwani watu wengine mashuhuri wanaweza kuhofia sana kwenda hapo sasa...
Lakini pia inaonekana hoteli haina SOP za kuonesha wafanyakazi wanatakiwa washughulikie vipi matatizo ya wateja. Inawezekana Malima kaenda kuripoti wizi kwenye front desk (kitu ambacho pia kinachangaza kwani ningeassume angempigia moja kwa moja meneja wa hoteli) na wale vijana wa FD walipopiga simu kwa meneja wakati huo huo waka sms marafiki zao "aisee Malima kachapwa hapa". Maana nasikia taarifa za Malima kuibiwa zilikuwa zimeenea kwa watu wengi kabla hazijaandikwa magazetini for at least 24 hours.
Je, wafanyakazi wanapotoa taarifa za ndani kama hizo yawezekana ni kwa sababu hawajali ajira zao au hata taswira ya hoteli yao? au hawana hisia kuwa ni "hoteli yao"?

Hii nchi inaendeshwa hovyo hovyo kiasi kwamba wana siasa wanakuwa na nguvu kuliko biashara. Najua wamiliki wa hotel wanalazimika kuwa wapole kwakuwa hata eneo la hotel walipora ardhi ya jeshi la magereza na chuo cha LITI. Mi kama ukimwaga mboga tunamwaga ugali. But mwisho wa siku watu wasio na hatia, walalahoi wanaadhibiwa na kuteswa kucover uovu wa wana siasa na zinaa zao

Lakini pia inaonekana hoteli haina SOP za kuonesha wafanyakazi wanatakiwa washughulikie vipi matatizo ya wateja. Inawezekana Malima kaenda kuripoti wizi kwenye front desk (kitu ambacho pia kinashangaza kwani ningeassume angempigia moja kwa moja meneja wa hoteli) na wale vijana wa FD walipopiga simu kwa meneja wakati huo huo waka sms marafiki zao "aisee Malima kachapwa hapa". Maana nasikia taarifa za Malima kuibiwa zilikuwa zimeenea kwa watu wengi kabla hazijaandikwa magazetini for at least 24 hours.