Hoteli nzuri na affordable Jijini Arusha

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
537
Wasalaam wanabodi. Natarajia kuwepo Arusha kikazi kwa wiki moja, Naomba kusaidiwa kujua ni Hoteli gani nzuri ambayo ipo eneo tulivu, ina parking na ambayo haipo mbali sana na City centre. Bajeti yangu ni 50,000-60,000. Natanguliza shukrani!
 
Ingia kati hapo kuna Bar ina malaya...

Nahisi panakufaa
 
Wasalaam wanabodi. Natarajia kuwepo Arusha kikazi kwa wiki moja, Naomba kusaidiwa kujua ni Hoteli gani nzuri ambayo ipo eneo tulivu, ina parking na ambayo haipo mbali sana na City centre. Bajeti yangu ni 50,000-60,000. Natanguliza shukrani!
Nenda Pale Machame hotel ni pazuri halafu pasafi sana parking ipo bei ni hiyo uliyoitaja halafu ni mjini kabisa.Halafu mitaa hiyo Kuna gest kibao.
 
Nenda Korona Lodge ipo Njiro ni nzuri zipo mbili hapo hapo na ingine ni Olacity Garden bara bara kwa mrombo ni nzuri hautajutia...parking na safi ingine ya mfaransa mmoja ngoja nikumbuke jina niliwahi peleka wageni huko walitaka midrange Lodge...
Ukitaka kwenda mbugani nicheki
www.mothercitysafaris.com
 
Back
Top Bottom