Hoteli nzuri Morogoro isiyozidi laki moja

Vigezo vyako nenda nashela Hotel itakufaa sana Security iko bomba mandhari na swimming pool
....Hapo kwenye security iko bomba nashauri apate uzoefu kwa mhe Malima...

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli mpaka chumba cha 75,000 kinapatikana.
...Ningeshangaa sana hiyo price maana huduma ya mikutano package ni elfu 30. Generally huduma mbovu, hoteli imechoka...

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 

Jaribu ' Kahumba ' Guest House Mkuu hutojutia kwani achilia mbali tu kuwa na Bei ndogo kuliko hiyo uliyoiweka katika ' Bajeti ' yako ila pia ' utafaidika ' na ' Vivutio ' vya ' Kutukuka ' kabisa vinavyopatikana hapo hapo katika ' Kahumba ' National Park katikati ya Jiji la Morogoro.
 
Kahumba kuna mama yeyoo yeye analazimisha game wakti umri umeshampita
Alaf kakeketwa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Magnus bravoZ10 using JamiiForums mobile app
 
Vigezo vyako nenda nashela Hotel itakufaa sana Security iko bomba mandhari na swimming pool
Kuna mtu aliibiwaga binduki ya SMG hapo[emoji53] [emoji53] [emoji53]

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 

Mie nikiwa safarini Iringa niliingia Morogoro na gari niko chicha sana, polisi walinipeleka hoteli fulani nililala bure. Iko njia ya kwenda Klilakala Girls', na ina ulinzi mzuri sana, ila sikumbuki jina lake. Naona usiku walipuliza dawa ya mbu inanuka vibaya! Asubuhi walini-check out nikaendelea na safari.
 


duh yaan uko chicha ht hujitambui?kisa ninn! aisee!
 
Matata ya muasi na mobali esila te na mokili Mkuu.


ahahahaa kuna watu hamjipendi na maisha yalivyo matamu namna hii!yaan nimejikuta nakushangaa! chicha??/mh pre rest in peace mzeiya!(jokes aside)
 
Biashara huria sheeda! Label muhimu zaidi ya content while price more fascinating than value!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…