Hotel ya Southern Sun - Weaver Birds

Huu mti wa mgunga naweza kuupataje?.... nimeulizia kwa hawa wauza maua hawana..... nipe contact ntaulipia niletewe mche.

sijalelewa hapa "Ndege hawataki sehemu zenye mkubwa na binadamu."
Hao ndege wanapenda sana usalama kitu Cha pili wanapenda sehemu yenye chanzo Cha maji natural hata kama kukiwa na bwawa natural mahali ulipo au karibu na pia mazingira yasadifu Hali hiyo.

Wanapenda kwenye hiyo miti ya palm oil tree( mawese) na Accasia tree ndo wanapenda sana kuishi.
 
Mkuu Bado wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…