Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Mkuu unayumbaDuh mkuu inaonekana una connection kubwa..ningekuwa karibu ningeihangaikia hata hii...mkulima hachagui jembe aisee
hahaahMkuu unayumba
Mkuu umeshapata??Wadau,
Kwa ambae anahisi ana-qualify kuwa receptionist kwenye hotel iliyoko Zanzibar na mkaribisha PM.
Awe na uwezo wa kuzungumza kingereza kiufasaha, na awe na at least basic knowledge of computer.
Ukijua lugha mbili za kigeni ni added advantage.
Maendeleo hayana chama
Hapana mkuu, sikurupuki! I will do this with utmost care. Na wale wanaotumia ID zao za zamani ntawapa priority kwa kweli. Maana kila anaekuja PM ana ID mpyaMkuu umeshapata??
Asante mkuu kwa kunitag
Kwanini priority kwa ID za Zamani? Nilitegemea kipaumbele kiwe ni kwa mtu anayekidhi vigezo haijalishi hata kama ID yake ni ya jana. Tofauti na hapo unatamani kujua nani ni Mmiliki wa ID Fulani.Hapana mkuu, sikurupuki! I will do this with utmost care. Na wale wanaotumia ID zao za zamani ntawapa priority kwa kweli. Maana kila anaekuja PM ana ID mpya
Humu ndani kuna mambo mengi..mtu haangalii sifa but ID na sijui kwa purpose ipi haswa au anataka nini in returnKwanini priority kwa ID za Zamani? Nilitegemea kipaumbele kiwe ni kwa mtu anayekidhi vigezo haijalishi hata kama ID yake ni ya jana. Tofauti na hapo unatamani kujua nani ni Mmiliki wa ID Fulani.
Samahani lakini.
Duh! Umewezaje?! Mimi naona inasema amelimit wakuangalia profile yake...Nimeku PM mkuu.. pease check
Mkuu, nina story ndefu sana na funzo kubwa kuhusu hizi ID, kwenye uajiri knowledge yako tu is not all that we are looking for! We also want to know who you are as a person, and these IDs tell a lot.Kwanini priority kwa ID za Zamani? Nilitegemea kipaumbele kiwe ni kwa mtu anayekidhi vigezo haijalishi hata kama ID yake ni ya jana. Tofauti na hapo unatamani kujua nani ni Mmiliki wa ID Fulani.
Samahani lakini.
Hili nimelijibu tayariHumu ndani kuna mambo mengi..mtu haangalii sifa but ID na sijui kwa purpose ipi haswa au anataka nini in return
Mkuu ni PM tafadhali, Leo itakuwa deadline ya kupokea CVNpo hapa mkuu 0789925300. Ntashukuru mkuu!
OkeyNimeku PM mkuu.. pease check