karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 138
kolla hill hotel ni nzuri sana
Wakuu Kwa wenyeji wa mji wa Morogoro naomba kujua hotel nzuri ya kati ya Tshs. 60,000 - 70,000 Kwa night mnijulishe. Kama una namba zao za simu pia nitashukuru ukiniwekea. Nimejaribu kutafuta Kwa internet hamna cha zaidi ya Morogoro Hotel, Hilux na Nashera. Natanguliza shukrani zangu.
Kahumba lodge ni nzuri sanaaaa
Huyo Riz kila kitu chake...bado kudai kila mke wake....