Hotel Manager natafuta Kazi.

Hotel Manager natafuta Kazi.

Noel Mobeto

Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
40
Reaction score
30
Moja kwa moja kwenye mada:
Mimi ni Hotel/Lodge Manager mwenye uzoefu wa miaka 4.

Mbali na kusimamia uendeshaji wa shughuli za kila siku za idara zote za Hoteli (jiko, bar, restaurant, staff, usafi, nk) pia niko vizuri kwenye kumanage Bookings na channels za booking k.v. Booking.com, TripAdvisor, LonelyPlanet n.k.

Pia nina uzoefu wa logistics za Stock k.v. vyakula, vinywaji na Accounts pamoja na kuorganize/kuplan Events k.v. birthdays na harusi kwaajili ya ukumbi na kupromote ukumbi.

Please PM.
 
Nimefanya kazi hotel za kitalii miaka 12 kitu kimoja nimejufunza ukitaka hotel yako ifilisike kama huwezi ku manage mwenyewe basi ajiri meneja mtanzania
Karibu hotel zote ZnZ mameneja ni wakenya,wahindi au wazungu

Watz sio waaminifu na huwa sio wabunifu na wala hawajitumi
 
Anzia kwanza uhudumu, sio lazima uanze na usimamizi (u meneja)
 
Nimefanya kazi hotel za kitalii miaka 12 kitu kimoja nimejufunza ukitaka hotel yako ifilisike kama huwezi ku manage mwenyewe basi ajiri meneja mtanzania
Karibu hotel zote ZnZ mameneja ni wakenya,wahindi au wazungu

Watz sio waaminifu na huwa sio wabunifu na wala hawajitumi
Nakubaliana na wewe mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya kazi hotel za kitalii miaka 12 kitu kimoja nimejufunza ukitaka hotel yako ifilisike kama huwezi ku manage mwenyewe basi ajiri meneja mtanzania
Karibu hotel zote ZnZ mameneja ni wakenya,wahindi au wazungu

Watz sio waaminifu na huwa sio wabunifu na wala hawajitumi
Mmmmhh sikweli inategemea na meneja uliempata khaa mbona hata hao pia sio
 
Back
Top Bottom