kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 155
- 275
hello boss..What inside reception dashboard?
Ndiyo kuu, mfumo ina features zote hizo.Mm binafsi nimewah kutumia PMS ya Clock ni rahis mnoo na inarun kwa nguv sana hata kama mtandao uko chini. Mfano hapo juu mtu akitaka ku-pre authorize akiwa receptionist anafanyaje kazi?
Na mbona haujaweka Meal package? Mana HK package ni bed setup. Yan kana double room or king size bed toom and extra or sofa bed. How about Meal?
Na mfumo unaruhus login account mbalimbaku kma za supervisors na uwezo maalum? Mfano kama anaetumia mfumo ni night auditor anaweza kufikia receipt za malipo yote ya siku ya leo
MFUMO PIA UNA PREMIUM FEATURES KAMA VILE "Mm binafsi nimewah kutumia PMS ya Clock ni rahis mnoo na inarun kwa nguv sana hata kama mtandao uko chini. Mfano hapo juu mtu akitaka ku-pre authorize akiwa receptionist anafanyaje kazi?
Na mbona haujaweka Meal package? Mana HK package ni bed setup. Yan kana double room or king size bed toom and extra or sofa bed. How about Meal?
Na mfumo unaruhus login account mbalimbaku kma za supervisors na uwezo maalum? Mfano kama anaetumia mfumo ni night auditor anaweza kufikia receipt za malipo yote ya siku ya leo
Conciege anatumia lounge ya mfumo kuchat na mteja. Mteja anaona nn kwenye sim yake?
Anhaa mm naongelea "In house guests" huyo mteja atakuwaanaona anachat kupitia wasap au?A.I inamsaidia mteja kupata taarifa kwa haraka.. mfano, bei, rooms zilizopo, .
so watakuwa wanachat.. hii inamsaidia mteja kutumia muda mfupi kuijua biashara yako kwa haraka
Anachat kwenye mfumo hapo hapo, maana A.I ipo kwenye system, sio whatsappAnhaa mm naongelea "In house guests" huyo mteja atakuwaanaona anachat kupitia wasap au?