KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Kumalija hotel
Hata mi nataka kusafiri hebu nielekeze kwako nifikieFikia kwangu hiyo hela unipe
Nitakutafuta nikitaka kuja Mwanza.nyegezi ya mwanza au? km ni mwanza zipo nyingi kuna kumalija hotel,passion hotel,tulale lodge,millenium hotel,cosmopolitan hotel,magida hotel na kilimanjaro hotel(hapa kuna night club unakula bata mpka asubuhi) zipo nyingi sana
Haaaahh thanks mkuu, ngoja nikutafute PMFikia kwangu hiyo hela unipe
Thanks mkuu,nitaitafuta.Kwa bajeti yako Passion Hotel itakufaa, chumba cha single self container lakini hakina tv Tsh 15000,ipo mita kama 60 toka stand.